- Thread starter
- #61
hahaha. kama mafuriko yanakikumba kjiji sijui kama nyumba ya udongo itasalimika ianguke nyumba ya zege. halafu habari iishe hapo. Kwanini Necta haigundua Tanganyika. au wao wazoefu wa kukopi? maana std 7 tulsikia wabunge walivyopiga keolele watoto warudi shule. lkn NECTA inafanya unyama huu kwa shule za zEnj HUKO KWAO ndalichako akiziacha na DIV 1Mtihani unavuja kwa njia nyingi, kwanza ni wanafunzi kupata mtihani halisi lakini kila mwanafunzi akajibu kwa akili yake, lakini pia unaweza kuvuja halafu wanafunzi wakaandikiwa jinsi ya kujibu; hii ya pili ndio hugundulika kwa urshisi kwani sentensi na tarakimu hufanani kwa kila hali.Si ajabu shule kuwa karibu ila moja ikafutiwa mtihani.