Suzie
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 1,267
- 422
By Priory of Zion![]()
![]()
Naona sasa itabidi tuanze kuambiana ukweli! Watanzania tuna kawaida ya kusema mema tu ya marehemu na muda mwingine tunatia chumvi nyingi! Pengine ni njia ya 'kumlaghai' Mungu ili amhurumie! Lakini la Regia kwa hili nadhani linatumiwa na CDM kama mtaji wa kisiasa kujipatia umaarufu! Huku Kondoa niliko hilo jina ndio kwanza wanalisikia! Ukiondoa mchango wake kwenye chama chake kama upo, au kujipendekeza kwake kwa kundi la Mbowe,na kuleta PICHA za mikutano ya CDM hapa JF ; Mimi sioni MCHANGO WAKE kitaifa! Hata bungeni sikuwahi kumsikia akuzungumza lolote la maana!
Naona unataka kuomba msaada wa TV na media zifike kwa wingi. Sidhani kama ile siku uliposafiri kuja Arusha kilikuwa sio kipindi cha Bunge na Regia alitoa kero. Pole kwakumchukia marehemu itakuumiza sababu ni peke yako
