Recent content by bumba

  1. B

    ATCL gets 50-seater jet as part of expansion

    We need Boeing 737 to compete with Fasjet. It takes you only 55 minutes from Mwanza to Dares Salaam with Boeing whereas 50 seater jet takes you 2.30hrs from Mwanza to Dar es Salaam. With competition i will opt for Boeing.
  2. B

    Mathematics & Geography: Temporary Teacher

    Kweli kiingereza hakipo hapo. Akajifunze kiingereza kutoka kwa wanafunzi wa English Medium wa Olympus Bunda.
  3. B

    Tanzia: Mkuu wa Mkoa wa Mara aanguka ghafla na kufariki dunia!

    RIP Tuppa. Ni Wakuu wa Mikoa wachache sana ambao unaweza kuwafananisha na Marehemu Tuppa. Tuppa alikuwa mchapa kazi na mfano wa kuigwa. Kila alipopita aliacha kitu cha kukumbukwa nacho. Wakurya walimpenda sana kwa kujenga hoja na kusimamia maendeleo. Huwezi hata siku moja kumpata kwenye uchafu...
  4. B

    Kuna nini kati ya Mkapa na Kikwete?

    Kati ya Marais waIiowahi kuongoza Tanzania hakuna wa kumfananisha na Mkapa katika nyanja za maendeleo. Mkapa alikuwa jembe. Fedha zilikuwepo, hakuna ukopaji usio na tija, alileta heshima Serikalini, Watumishi walikuwa hawalalamiki kama ilivyo sasa, bajeti ya Serikali ilitekelezwa kama...
  5. B

    Sijawahi kumfikisha mwanamke kileleni

    Anayetakiwa kujua ni mwanamke. Wewe ulijuaje kuwa hujamfikisha kileleni?.
  6. B

    Tarime tarime

    Goldland kwa kweli pamechoka na hakuna renovation inayofanyika. Vyumba vimechoka ila hawajambo kwenye breakfast. Mtafute Chacha Nyamete akupeleke kwenye maeneo ya makulaji. usitembee usiku kuanzia saa mbili wananchi na vijana wachache ni wakorofi. Nakuhakikishia kuwa hakuna watu waungwana kama...
  7. B

    Nimekuja na msimamo wa serkal 3

    Msimamo ni Serikali mbili. Hata kwenye kura ya maoni ni Serikali mbili.
  8. B

    TUCTA ya beza hutuba ya Rais Kikwete

    Kutokana na sababu alizotoa Mhe. Rais naungana naye kuhusu Serikali mbili. Madhara ya Serikali tatu aliyatoa waziwazi na kila Mtanzania mwenye uelewa tunahitaji Serikali mbili. Mimi ni muumini wa CHADEMA lakini kwenye ukweli, ukweli unabaki pale ale.
  9. B

    Angalia Nafasi mpya ya Kazi CRDB Bank

    Sipotezi muda wangu kuomba hiyo kazi. Najua tayari mtu kwishapewa barua ya nafasi hiyo.
  10. B

    Kiwanja Kinauzwa Arusha

    Hata bure sitoi hela yangu.
  11. B

    Wakili Francis Tola

    Kati ya Mawakili mahiri nchini ni Wakili Francis Stollah. Huyu Wakili anajua sana kujenga hoja na kutoa ufafanuzi fasaha kwa jambo linahusu masuala ya sheria. Namshauri Mhe. Rais amteue kuwa Jaji katika Mahakama Kuu ya Tanzania na hapo mwanga wake utakapowaka na mengineyo yatafuata. HONGERA...
  12. B

    Bunge Maalum la Katiba

    Naona Bungeni kwachafuka. Baada ya Mhe. Jaji Warioba kupewa nafasi ya kwasilisha Rasimu ya Katiba Wahe. Wabunge wameendelea kupiga kelele, kugonga gonga meza na hivyo kukawa hakuna amani na baadaye kikao cha Bunge kikaahairishwa na Mhe. Spika. Kwa kweli siyo jambo la kiungwana kwa Wahe. Wabunge...
  13. B

    MATAJIRI WA DUNIa....................

    Tajiri wa Kigoma wa Futuhi ni wa 7.
  14. B

    Jamani ukerewe daaaah !

    Wanafiki sana. Wanakuchekea huku wanakuchimba. Ukale ugali wa muhogo na usafiri wa uhakika ni mitumbwi kwenda kwenye maeneo ya kazi. Ukerewe ina Visiwa zaidi ya 29.
  15. B

    Is Kenya going broke?...Top officials’ pay push economy to brink

    Kwa kweli Kenya wanatakiwa wajipange upya. Leo nimesoma kwenye Gazeti lao la Daily nation. Kwenye Serikali ya Jubilee ilipoingia madarakani wengi wa watu waliowapigia debe ili waingie Ikulu wamewatengenezea kazi kwenye Idara mbalimbali ikiwemo Ikulu, Ofisi ya Makamu wa Rais pasipo kuwa na kazi...
Back
Top Bottom