Majigo
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 5,519
- 1,831
pole sana kiongozi!! Nakumbuka ulilalamika hapa kuwa demu wako dizyn kama anakupotezea vile!...kumbe tatizo ni hilo?!!
Amahan mkuu! Naomba unijibu haya maswali ili nijue pale unapokosea
*unapokutana na mpenz wako , una hakika naye ameridhka kuitumia cku hyo na ww....unamlazimisha au mnaelewana?
*kabla hujakutana nae huwa mnakuwa na mawasiliano mazuri, mean kusameheana maudh yote na kubembelezana?
*mapenz ni ushirikiano!..je huwa una jaribu kumsoma mwenzio anakunwa zaid wapi?(hapa unahitaji kutalii mwili wake wote)
*unqtumia mda gani kumuandaa yaan romans mpaka ww kumwaga?
Mwisho nakusihi kabla hujakutana na mwanamke unatakiwa kurelax na wala husikurupuke hucfkirie haja zako kwanza, inatakiwa hujikatiri ww na umpendelee mwenzio....baada ya hapo kila kitu kitakuja chenyewe!
Pole sana kiongozi!!!!!