Du for me, hakuna eneo ambalo linatia shaka kuishi kama Tarime ni bora ukafuata ushauri wa kwamba ukienda huko starehe zote weke pembeni, hawo jamaa wamekuwa kama nini sijui mauaji ni sehemu ya tamaduni zao, kwa bahati mbaya ukachukua demu wa mtu kifo nje nje, ukatofautiana kidogo na mtu umekwisha, kama wenyeji wanafanyiana hivyo inakuwaje kwa mgeni, sio sehemu ya kuishi otherwise umelazimishwa kwenda kikazi, mimi nilikuwa na mpenzi wangu wa huko baada kupata matukio ya huko nimeshamuweka pembeni sipendi kabisa kuchangamana na hii jamii, kwa sababu naweza kukolofishana naye shemeji zangu wakaja kuniua bure, sometimes wana hulka ya kuua mtu with minor reasons, na kusema vyombo vya habari vinakuza sio kweli kwa sababu tunaona matukio kwa picha na watu tunaona walivyojaa kuangalia tukio. Haiingii akilini kwamba kweli vyombo vya habari vinakuza. Na hayo ni matukio machache ambayo tunayasikia, nakumbuka kuna mwanamke mmoja alikatwa mikono kwa sababu ya kuachia kitoweo (Kuku) kuliwa na paka.