mbishi2004
Senior Member
- Jan 26, 2014
- 134
- 28
Kikweke sio JK maana kuna JK mmoja tu Tanzania ambaye ni Julius Kambarage Nyerere!!
Sasa Kikwete anaposema anamajina ya wauza unga ila hataki kuwataja!!
Aliposema wezi waliokwapua mpunga Wa EPA anawapa mda warudishe mpunga!!
Juzi wakati anahojiwa na BBC alisema anawajua wauaji wa tembo wetu alipoambiwa wataje akagoma!! Huo kwa werevu wako unauitaje????
Watanzania mnapenda sana kuhis mambo,mkapa n mgonjwa anaumwa GOITRE kwaiyo hakuweza kufika kwa maradh leo nyie manasema bifu achen umbeya mbona salimin ahmed hajakuwepo,viongoz wangap waloalikwa hawajakuwepo,achen hayo mambo ya ben kinyaiya