TUCTA ya beza hutuba ya Rais Kikwete

TUCTA ya beza hutuba ya Rais Kikwete

Heri uwe na sura km ya wa**ra kuliko kuwa na akili km ya UVCCM na mw**ti wao! mnaisifia hotuba ya mipasho? rais wa jmt atazungumziaje msimam wa chama chake? Tuambien ni rais wa nyinyiem tu? km ni maon yake binafsi si angeyatoa kwenye tume kabla?
 
Usilitumie vibaya jina la Taasisi. Huwezi kuchukuwa maoni ya Individuals ndaninya taasisi ukasema ni maoni ya taasisi. Maoni ya Taasisi lazima yaoneshe sehemu yalipotolewa, kama ni mkutano wa kawaida au dharura, idadi ya waliohudhuria nk. Mjifunze misingi imara ya uandishinwa habari
Mkuu sikujua we ni mweupe kiasi hichi. Nianze kwa mfano wa chama chako, Nape kila wakati anatoa matamko huwa vikao vina kaa lini?? Lakini pia inaelekea chama lenu mnaliendesha kianalojia sana. kwenye corporate management sio lazima make sehemu moja ndio mfanye maamumuzi simu, emails, comference calls etc hutumika kufikisha ujumbe. Hivyo aliyosema ndio msimamo wa taasisi yake. Mkuu hamia digitali
 
Usilitumie vibaya jina la Taasisi. Huwezi kuchukuwa maoni ya Individuals ndaninya taasisi ukasema ni maoni ya taasisi. Maoni ya Taasisi lazima yaoneshe sehemu yalipotolewa, kama ni mkutano wa kawaida au dharura, idadi ya waliohudhuria nk. Mjifunze misingi imara ya uandishinwa habari
Mkuu umenena vyema.
Jana kwenye habari nilimuona kama si Rais au mwenyekiti wa TUCTA anatoa naoni yake na alishindwa kujenga hoja mbele ya hotuba Rais na aliishia kusema Rais kavuruga bunge na anataka Bunge livunjwe.

Kwakweli alionekana ni mtu aliye changanyikiwa kabisa maana aliishia kusema oooh Rais.

Haya ni maoni yake binafsi wala si ya TUCTA naana sidhani kama wana chama wa Tucta walikutana na kujadili hotuba ya Mh Rais.

Tuna hitaji watu wapangue hoja za Mh Rais si kutafuta huruma.
 
Kuna watu ili wale ni lazima wasikike wakiiponda serikali, beware, viongozi wa trade unions ni miongoni mwa hao, wengine ni vya ma upinzani kelele zao ni za asili!
 
Fanyeni ubabe wenu tu kama mlivyozoea. Ili la katiba hamtaburuza mtu. Tuko makini na razima katiba bora ipatikane si kwa matakwa ya ccm bali watanzania.
 
Mwenyezi fanya hima upiganie wanao,serikali yao na wapambe wake wamewadharau.
Ukiona inafaa wachukue kabisa hawa mafisadi ili waje kujumuika na kiongozi wao mkuu,Katika moto wa umilele.
Sikupangii uanze na yupi ila kwa kadiri uwajuavyo wewe na ikifaa anza na mkuu wao ili wengine watawanyike kama mchungaji apigwapo na kondoo kusepa.Amen.
Hii sala ni ya raia mmoja wa kinyamokhondo,wilayani Chalinze!
 
Naona wale Nyumbu wa Lumumba wakiongozwa na Lizaboni na Mlembwende Simiyu Yetu wamevamia thread kama Machangu walizungukapo gari la mteja wao kila mmoja akiomba hisani.
 
Last edited by a moderator:
Uongo mwingike huu hao tucta wamekutana lini kuponda hotuba kwa nini vijana wa bavicha wengi mnapenda uongo na kupotosha watu hakuna hotuba bora kama aliyotoa rais siku ile.

Wewe utaendelea kuwa -------- na mshezi siku zako zote.
 
Sure mkuu huyu kakaa chumbani kwake kashiba uji anaanza kutunga uongo wake halafu anatwambia mawazo ya tucta bavicha ni vijana wa ajabu sana mimi naamini kuwa yeyote anayepinga hotuba ya rais lazima awe na shida kidogo kichwani mwake.

Jiheshimu utaheshimiwa. Huyo mzee sio wa kusemewa maneno ya kijinga kiasi hicho
 
Kutokana na sababu alizotoa Mhe. Rais naungana naye kuhusu Serikali mbili. Madhara ya Serikali tatu aliyatoa waziwazi na kila Mtanzania mwenye uelewa tunahitaji Serikali mbili. Mimi ni muumini wa CHADEMA lakini kwenye ukweli, ukweli unabaki pale ale.
 
Mara hii mkichakachua maoni ya wengi mtakiona. Ccm ina laana.
 
Back
Top Bottom