Recent content by buguruni

  1. B

    ANGALIENI CV YA ADAM MALIMA: hana form six wala bachelor, loooo!!!!

    CV haina A level wala Undergraduate degree kaanzia post graduate akitokea form 4. Hizo ngazi mbili huenda alikuwa na vyeti feki sasa kaamua havitumii tena. CV ina mapengo
  2. B

    Ujumbe Kwa CloudsFM na Gerald Hando

    dawa kutosikiliza tena wakati huo sikiliza Wapo Redio kuna Gospel songz
  3. B

    Akimaliza yeye tu Kosa!

    mwanamke mwenyewe anatakiwa awe na mautundu kumuandaa na kuwasogeza wazugu ila wasogee golini. Huyo mwanamke lazima awe mchaga maana hana mautundus
  4. B

    St. Florence Academy: Mabasi mabovu, Wanafunzi kusimama katika school bus si halali

    Issue ya usafiri shule hii hata mimi kwangu ni kero. Mwanangu wa kwanza kuchukuliwa na wa mwisho kurudishwa na wale wanafunzi wakubwa wakati wa kurudi huweka mabegi kuwahi seat na mwanangu ananiambia everyday wakati wa kurudi husimama na one day alisinzia na kuanguka ndani ya basi. Nilimwambia...
  5. B

    St. Florence Academy: Watoto kuibiana na utukutu ni moja ya somo

    KUMBE TUKO WENGI? WANGU ALITEGEWAGA AKAANGUKA NA KUUMIA NILIPOTAKA MAELEZO ZAIDI NIKAAMBIWA WANAFATILIA MPAKA KESHO. MTOTO ANASEMA ALITEGEWA MAKUSUDI NA MVULANA.Plus vimbwanga vya wizi ndio usiseme.
  6. B

    Kwa mhe. Rostam: Ahadi kwa familia ya danny mwakiteleko itekelezwe

    BINAFSI nasubiri kuona matokeo coz nasikia madeni kampuni inadaiwa ni mengiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii na hajalipa. Kama movie vile!
  7. B

    Mama huyu ufukweni Ocean Road ana kazi gani?

    sijamuuliza nadhani inawezekana kuna aliyeshawahi kuuliza ili anisaidie. My concern ni wale watoto. Acha ulofa safari
  8. B

    Mama huyu ufukweni Ocean Road ana kazi gani?

    JAMANI NISAIDIENI. KUNA MAMA MMOJA ANA WATOTO WATANO, KILA SIKU ASUBUHI MAPEMA SANA LAZIMA, NASISITIZA LAZIMA, UTAMKUTA MAENEO YA UFUKWE WA BAHARI YA HINDI ENEO LA OCEAN ROAD NA WATOTO WAKE WOTE. HUWAGA ANAKAAGA MPAKA AROUND SAA TANO THEN HUONDOKA. wATOTO WAKE WANA AFYA NJEMA TU NA WANAVAA...
  9. B

    Je uliya jua haya kuhusu Clouds Media?

    stupid arguments! Inaelekea na wewe shule imekata kona mapema
  10. B

    Rostam aziz aibiwa

    BASHE NI MTOTO WA ROSTAM KISIASA NA NDIYE ANAYEFADHILI KAMPENI ZAKE KUMNGOA SELELII. ZILIPOIBWA MALI ALIKANUSHA HAKUKUWA NA VITU TAJWA ILA TAARIFA ZINAELEZA WEEKEND HII ALIKUWA TABORA AKIGAWA PIKIPIKI, BAISKELI NA NIPIRA. Kama hafadhiliwi na RA atueleze anatoa wapi fedha za kufanya kampeni za...
  11. B

    Wafanyakazi wa rostam aziz awajalipwa mwezi na nusu mshahara

    Mkuu tangu uandike kipindi hicho bado kulipwa hawa jamaa. Sasa ni miezi miwili na siku tisa yaani kwa mahesabu mazuri ni siku 70. Ila wahindi wake na mabosi wengine wanajilipa taratibu kwa vi vocha. Ukikutana na wafanyakazi wa Rostam wanatia huruma. Nilimuuliza mwandishi mmoja mwandamizi wa...
  12. B

    Rostam aziz aibiwa

    WACHA AIBIWE BANDUGU. hAJALIPA MSHAHARA WAFANYAKAZI ANAENDA KUNUNUA PIKIPIKI KIBAO, BAISKELI, T SHIRTS, NK. wAFANYAKAZI WANAPIGA MUAYO MISHAHARA MWEZI WA PILI WAMEANZA WA TATU BADO KULIPWA, WAKUU WA KAMPUNI WAHINDI ALIWAWEKA HAWAJALI NA JAWANA HABARI SABABU WAO WANALIPWA MAPESA KIBAO HATA...
  13. B

    Ombaomba huyu ashughulikiwe

    Hivi wewe umeshawahi kuendaga vituo vya polisi kutoa malalamiko ukaona mambo yalivyo. Kwa taarifa yako kuna siku nimesharipoti hapo jirani tu na anapoombea Salender Bridge na wakasema watashughulikia na mpaka leo yupo. Unaposema naitwisha JF mzigo si wake una maana gani? mizogo yake ni ipi...
  14. B

    Ombaomba huyu ashughulikiwe

    Kuna ombaomba mmoja kijana ambaye hupenda kuombea katika taa za salender, peugeot house na mktaba anakera kwa staili yake ya kufunua kidonda kikubwa kwenye paja lake la kushoto akidai anataka msaada wa matibabu. Kidonda hicho ni kikubwa sana kilicho fresh na bila kujua watu wengi hawapaendi...
  15. B

    Kkkt usharika wa sinza kuna nini katika ujenzi

    Kuna haja pia ya kuongeza maombi kwa ajili ya Usharika huu ambao umekuwa mgumu sana kubadilika. Sharika nyingine ibada zao wanasifu, wanaabudu lakini pale mhhhhhh! Nenda Ubungo, Kimara, Mbezi, nk. Maombi hubadilisha na kutengeneza. Ilitakiwa ujenzi muwe mmeshamaliza sasa mnafikiria kuwekeza...
Back
Top Bottom