Wafanyakazi wa rostam aziz awajalipwa mwezi na nusu mshahara

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,722
21,775
Hii ni huzuni na aibu ya kukimbilia vyombo vya habari kishabiki na kushindwa kuwalipa wafanyakazi huku wakiona malundo ya pikpki na baskeli za thama zikienda mikoan kwa kampeni...wafanyakaz hawa wameomba majina yasitajwe wamellamika na wizi mwingi tu utatokea mpaka alipe wafanayakazi wake

kazi unayo wabunge mmezidi utapeli sasa
 
Mkuu tangu uandike kipindi hicho bado kulipwa hawa jamaa. Sasa ni miezi miwili na siku tisa yaani kwa mahesabu mazuri ni siku 70. Ila wahindi wake na mabosi wengine wanajilipa taratibu kwa vi vocha. Ukikutana na wafanyakazi wa Rostam wanatia huruma.

Nilimuuliza mwandishi mmoja mwandamizi wa pale mbona hiyo hawaandiki au sio news. Nafikiri mimi ni hot news coz ina human interests.

Tehe tehe RA
 
Mshahara nasikia ndio muda wote amekuwa anatoa tangu aondoke yule dada anaitwa Rose Mwakitwange. CEO nasikia amekuwa akienda kupewa hata milioni mia cash na kubeba kwenye mamifuko ya rambo.

Mshahara hawezi toa tena kampeni zimeanza ukizingatia RA anagombea majimbo kibao kama nzega, simanjiro, urambo, igunga, same mashariki, kyela, nk.

Wafanyakazi pale wako wa tabaka mbili, kawaida ambao ndio wanaumia na kuna wale wenye mishahara miwili wa pili wakichukulia Caspian akina Balile na Muhingo
 
Hivi channel ten nako kuna mono wa RA nini kwani naskia wanataka kugoma kwa kutolipwa vizuri,wamepunguza uwajibikaji
 
Back
Top Bottom