Rostam aziz aibiwa

Che che che Sungura kamkaba tembo! kama we unajua hivi sisi nasi twajua vile! hehehe wait a moment, huyu Hussein Bashe anaenda kugombea jimbo la Nzega kule kwa selelii sasa vifaa vyake vya kampeni vilikuwa vinafanyi ofisini kwa Rostam? walewale! huyu hataenda bungeni kuwakilisha wananzega bali kuendelea kumtumikia Rostam ( nasema kuendelea kumtumikia RA maana hadi sasa Bashe ni muajiriwa wa New Habari Co-oporation!)
 
bashe
Si kibaraka wa ROSTAM AMUMJUI........
 
Mbona ni kiwango kikubwa cha wizi? au limebebwa container zima? au walikuwa wanaiba kidogo kidogo mpaka wakamaliza? na mlinzi vipi ana hali gani?
 
BASHE NI MTOTO WA ROSTAM KISIASA NA NDIYE ANAYEFADHILI KAMPENI ZAKE KUMNGOA SELELII. ZILIPOIBWA MALI ALIKANUSHA HAKUKUWA NA VITU TAJWA ILA TAARIFA ZINAELEZA WEEKEND HII ALIKUWA TABORA AKIGAWA PIKIPIKI, BAISKELI NA NIPIRA.

Kama hafadhiliwi na RA atueleze anatoa wapi fedha za kufanya kampeni za mamilioni au atoe ushahidi kachukua wapi mkopo. H. Bashe ni mtu wa kumuogopa kama ukoma katika jamii yetu.

  • WANA NZEGA nanyi msifanye ujinga kuchagua msomali kuwaongoza. Uzalendo wa kweli haupo kwao.


AMKENI NZEGA MSICHAGUE MAPANDIKIZI
 
very interesting.....wameiba kidogo too.... So ili RA aumie aibiwe nini? --- wife?
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom