Kkkt usharika wa sinza kuna nini katika ujenzi

Kkkt usharika wa sinza kuna nini katika ujenzi

ahahahahaha...wewe mtoa mada na ndugu buguruni munatatizo la kutoelewa nani ni muhusika wapi na nani akujibu swali lako

...ujenzi umekuwa hauendi katika speed inayotakiwa..speed inatakiwa na nani?? work programme inasemaje?..nani anatoa workprogramme kati ya wazee wa kanisa, waumini au mkandarasi?

...hela ya kutosha ipo ya kazi kuendelea....wewe ni mwanakamati ya ujenzi mpaka ujue hela ipo ya kutosha?..kutosha kujenga nini?...hicho kinachojengwa kipo nchini au kimeagizwa nje ya nchi na mkandarasi??...

Ujenzi umesimama kwa muda sasa na hatua hata ya kuweka madirisha haiendelei .....muda gani ujenzi umesimama?..workprogramme inasemaje?..mobilisation period ya mkandarasi ni muda gani...au unadhani ukishakuwa na pesa leo kesho ujenzi unaanza...style hiyo ni ya kujenga nyumba zetu za tandale na manzese

....na uongozi wa kanisa hausemi lolote......wewe ulitaka uongozi wa kanisa useme nini?..kwann hukuwauliza baada ya ibada ya jpili ilopita...au hakuna ubao wa matangazo ukasoma ripoti za maendeleo ya ujenzi wa kanisa....kuja kusemelea hapa JF ndio umepata jibu toka kwa viongozi?...acha unafiki na kuwa chanzo cha chokochoko na ugomvi usio na msingi katika usharika wetu.....jaribu pia kuulizia wataalamu wa mambo ya ujenzi na mikataba watakujibu ki-taalamu zaidi

..NI MAONI TUU
hakika ukweli ndio huo.....thank U.
 
ahahahahaha...wewe mtoa mada na ndugu buguruni munatatizo la kutoelewa nani ni muhusika wapi na nani akujibu swali lako



...hela ya kutosha ipo ya kazi kuendelea....wewe ni mwanakamati ya ujenzi mpaka ujue hela ipo ya kutosha?..kutosha kujenga nini?...hicho kinachojengwa kipo nchini au kimeagizwa nje ya nchi na mkandarasi??...



..NI MAONI TUU

Nasikitika who cares unachangia mada usiyoielewa vizuri na sioni hata cha kukujibu sababu ungekuwa unasali hapo maswali yote ungejijibu. Naomba tena usivamie mada.

Labda nikwambie moja tu kuhusu hela ya kutosha kama ipo au la. Nina uhakika ipo na kila msharika anajua na kuwa na uhakika na hilo sababu ilitangazwa na kwenyekiti wa kamati ya ujenzi. Lazima ujue kwamba ujenzi tunaenda kwa phases na nakuambia na uelewe kwamba kuna phase ya madirisha tulishamaliza kuchanga na tumeshachanga kwa ajili ya phase inayofuata ambayo ilitakiwa kuanza baada ya madirisha.
 
Kuna haja pia ya kuongeza maombi kwa ajili ya Usharika huu ambao umekuwa mgumu sana kubadilika. Sharika nyingine ibada zao wanasifu, wanaabudu lakini pale mhhhhhh! Nenda Ubungo, Kimara, Mbezi, nk. Maombi hubadilisha na kutengeneza.

Ilitakiwa ujenzi muwe mmeshamaliza sasa mnafikiria kuwekeza. Kuna uwanja uko nyuma ya kanisa unaotumiwa kama gereji bubu, kama mngekuwa na wazee wa usharika wenye makini mngekuwa mmeshamaliza ujenzi wa kanisa na sasa mnachanga kununua sehemu ile kujenga shopping centre, shule ya chekechea, ufundi na hata nyumba ya watumishi. Hata kama mwenye nao hauzi fungeni na kusali muone kama Bwana hatatenda. Amkeni!
 
Back
Top Bottom