Recent content by Buda bwoy

  1. Buda bwoy

    JamiiForums Tanzania Nyaraka muhimu pindi unapotaka kusajiliwa kama mlipa kodi TRA (TIN application)

    Mm nauliza juu ya tofauti iko kwa 1 Business TIN na Non business TIN Mwenye kujua matuimizi na limitation
  2. Buda bwoy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hapa kuna penzi bado? Au niangalie mlango wa kutokea?

    Buda kula corner msichana kama hakupendi tena atakujibu ovyo ili muachane Mm niliwai ambiwa kama ww buda hakuna mapenzi tena hapo
  3. Buda bwoy

    JamiiForums Tanzania Self Defense: Tushirikishane Ni Mbinu gani za Kiulinzi unazozitumia dhidi ya Mtu/Watu waliokusudia kukudhuru?

    Wambie live kuwa tyr unawajua nia yao wata jishuku nakubadili gear
  4. Buda bwoy

    JamiiForums Tanzania Mada: Fahamu namna ya kufungua (Ku- unlock) Moderm za aina mbalimbali

    Nisadie bro software gani nitumie
  5. Buda bwoy

    JamiiForums Tanzania Mada: Fahamu namna ya kufungua (Ku- unlock) Moderm za aina mbalimbali

    Habari ndugu zangu, Naomba msaada jinsi ya ku unlock modem ipate kutumia sim card zote, Modem ni vodacom, manufacturer ZTE
  6. Buda bwoy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemzalisha ndugu yangu bila kujua, naomba msaada wa mawazo

    Funga ndoa nae hadi umekuw na hisia naye za kimapenzi hakuna mbaya -kitu nimeelewa binti anakupenda sana nisijue ww #utakuwa na family bora Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Buda bwoy

    JamiiForums Tanzania Je ni kitu gani hukipendi katika Maisha yako

    Kujipendekeza na ukandamizaj Mtu anaye jpendekeza ni anaboa kufanya nae kaz in real sense sio watendaj wazur ni waigizaj wazuri Mnyonyaj na mkandamizaj Uyu nae sio poa anatumia weakness yko kukumaliza Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Buda bwoy

    JamiiForums Tanzania Mnaosema maisha ya Arusha ni magumu kuliko Dar huwa mnamanisha nini?

    Arusha vs dsm 1. kuhusu pango dsm ni high 2. kuhusu misosi sokon arusha some how cheap 3. Bei za nguo na electronics arusha bei juu 4. Foleni dsm juu sana sana 5. Urahis wa kufanya business dsm ni rahis kutoboa 6. 7. Unaeza malizia Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Buda bwoy

    JamiiForums Tanzania WhatsApp chats backups

    Na place hapo kawwhida na kuchagua email ambayo ipo kwa google drive butbmatokeo yk ndo kama nilivyo anfika Never ndo uwa na select lakn juz nme reinstall na ku lose data zangu Sasa natafuta solution Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Buda bwoy

    JamiiForums Tanzania WhatsApp chats backups

    Sawa mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Buda bwoy

    JamiiForums Tanzania WhatsApp chats backups

    Habari wa kubwa Samahan naomba msaada jns ya kufix tatizo la chats backup Iko iv na choose email ya Google drive but WhatsApp ina nambia can't find my account Niki place ok ina fanya authentication bila kumaliza Nisadien jns ya ku fix tatizo hili wskubwa Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Buda bwoy

    JamiiForums Tanzania Niteke ya Maua Sama

    Lord Eyez *kweli* ni pin Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Buda bwoy

    JamiiForums Tanzania Mambo 30 usiyoyajua kuhusu utapeli wa Q-Net (Network Marketing)

    Buda acha kutapatapa qnet ni scammers Bidhaa gani bei ni tofauti na kawahida Mfano majani ya chai 1,000,000 Kama uliingia qnet iko namna morning !!!!!
  14. Buda bwoy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu bibie simuelewi

    Buda jaribu kwingine Uyo na rafk yk akili 1
  15. Buda bwoy

    JamiiForums Tanzania Inafaa kuomba kuongezewa mshahara?

    Jaribu kuomba kuongezewa Kwanjia ya oral/verbal Kama ina ruhusiwa na inawezekana Officially Andika hata barua convicing one kwa director wako mshawishi juu ya nyongeza All d best
Back
Top Bottom