WhatsApp chats backups

Buda bwoy

Member
Jul 21, 2019
27
75
Habari wa kubwa

Samahan naomba msaada jns ya kufix tatizo la chats backup

Iko iv na choose email ya Google drive but WhatsApp ina nambia can't find my account
Niki place ok ina fanya authentication bila kumaliza

Nisadien jns ya ku fix tatizo hili wskubwa
Screenshot_20200126-203641.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzimu wa Kolelo

JF-Expert Member
Apr 16, 2013
1,239
2,000
sasa ndugu hapo ishakwambia NONE SELECTED ina maana hujaweka

ipo hivi wewe hujaingiza kabisa google account kwenye simu yako au km umeingiza hujachagua cha kufanya bofya hapo hapo NONE SELECTED kama ipo google account select km bado hujaweka ADD new one km unayo ingiza km una fungua mpya then ADDD
ukiona inazingua ww juu pale kwenye backup chagua NEVER

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Buda bwoy

Member
Jul 21, 2019
27
75
Na place hapo kawwhida na kuchagua email ambayo ipo kwa google drive butbmatokeo yk ndo kama nilivyo anfika

Never ndo uwa na select lakn juz nme reinstall na ku lose data zangu
Sasa natafuta solution

kama huwa unapiga never backup haipo kwenye google drive na kama ingekuepo restore chat inafanya mwanzo wkt unafanya setup na km umekuwa unapiga never zaidi ya miezi miezi 3 au mi5 nyuma google walitoa notes katikati ya mwaka jana watu wafanye backup kwa data zao za zamani whatsap ama sivyo ikifika mwezi wa 11 2019 hawataweza tena fanya restore backup data za zamani whatsap

hvyo km unatumia simu hiyo hiyo na haujafanya phone resete backupa data zipo kwenye DEVICE anza upya then restore data from deviceSent using Jamii Forums mobile app
 
Buda bwoy

Member
Jul 21, 2019
27
75
Poa poa

Percy

JF-Expert Member
Jul 21, 2014
6,022
2,000
Kama unatumia GB whatsapp / Yo whatsapp / Fm Whatsapp basi sahau hio. Ni official whatsapp pekee ndo inakubali kufanya hivo kaka.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom