Recent content by Braying

  1. Braying

    Kuliko kuchomwa moto wa Milele ni Vyema na haki Mungu akatufanya watumwa. Tuwatumikie watakatifu huko mbinguni

    Sir God, huku duniani watu wanahitaji katiba mpya ya huko mbinguni.🙏
  2. Braying

    Naomba nisaidie mawazo mimi nna miaka 35 nimeolewa miaka 7 iliyopita mume wangu ana uwezo mkubwa sana

    Ukweli umeishia hapo kwa mke mwenza, mengine ni matangazo ya biashara.
  3. Braying

    Naomba ushauri; nimerudi safari nimekuta mke sehemu za Siri zinamuuma na anazichua kwa maji ya moto.

    Labda alikuwa na fungus. Au amepata michubuko baada ya kumaliza siku zake. Muulize bn ila 😂😂😂
  4. Braying

    Jenerali Moses Ali mzee wa miaka 86 kutoka chama cha Museveni ashinda Ubunge kwa mara nyingine

    Hee! Jamani mbona mtu mwenyewe kama upstairs haisomi.
  5. Braying

    Mambo 10 muhimu ya kuzungumza kabla ya ndoa ili kuepuka maumivu baadae

    Watu hubadilika, anakua malaika kabla ya ndoa na shetani mweusi baada ya ndoa.
  6. Braying

    Sifa anazopewa Waziri wa Maji (Aweso) ni tofauti na uhalisia

    Asante kwa kuliona hili, kwanza hakuna waziri anaepiga kazi( labda iwe kuwawajibisha wafanyakazi uchwara), lakini kuhusu miradi, pesa zote za maendeleo zinatoka kwa mahesabu na mipango ambayo ilishawekwa na kwa wakati gani mradi wowote utaanza kutekelezwa. Kwa hiyo ukiona waziri anasema mradi...
  7. Braying

    Sanamu la mchezaji messi lazinduliwa kolkata

    Messi wa kuchemsha.
  8. Braying

    Dunia imejaa watu waongo

    Dunia haina huruma, watu hubadilika.
  9. Braying

    Mkasa wa Nabii Ann Wanyoro na vifo vya ajabu vya watu watano kutoka familia moja

    Dini hizi jamani, familia imeteketea kwa kukosa msaada.
  10. Braying

    Kwanini miji ya Africa mingi ipo disorganised?

    Bora umeliona hili, ukitaka kujua hatuna utaratibu nenda makaburini. Kila mtu anazika anavyojiskia kichwa kinaangalia popote. Hakuna cha kwamba huu mstari ukijaa unafata huu, hata kama makaburi ni ya dini zote. Siku ambayo nilijua kwamba hatuko serious ni siku ambayo makamu wa raisi Mpango...
  11. Braying

    Naomba ushauri wenu

    Baba ako ni mbongo au mkanada? Kama ni mbongo mjengee huku nyumbani, then umrudishe na kama unaweza mfungulie biashara na atafute mke aoe, miaka 46 ni michache sana kwa mwanaume mwenye akili timamu kutangatanga kwenye familia za watu, labda awe ni mgonjwa na hawezi kuishi bila ww karibu.
  12. Braying

    Nimelala na muathirika wa VVU

    Hii tabia ya kulala na kitu kinachokuja geto bila kinga ni uzwazwa. Ukipona kwenye hili acha nyege za kipumbavu. Kapime ujue Hali Yako.
Back
Top Bottom