Nimelala na muathirika wa VVU

Nimelala na muathirika wa VVU

Elimu kuhusu vvu bado sana nahisi serikali iongeze wataalamu ili kulinusulu taifa hili, sasa mkuu nikurudie vvu haiambukizwi kwa kutokuchubuana bali hata majimaji ya ukeni ukipiga kavu hua na virus vya vvu ila kama anatumia dawa viral load hua ni Chichester sana kwaio probability za kupata zinakuwa coaches ila kama alikuwa hajui status yake na hatumii dawa vizuri basi kapime update uhakika.
Genye zitawaua nunua mipira weka geto

 
Duhhh kama manii yanasababisha kwann mtoto anazaliwa bila maambukizi
Damu ya mtoto na ya mama havichangamani akiwa tumboni. Ndio maana blood groups zao zinaweza tofautiana. Damu zao huchanganyikana kwenye kujifungua, mama mwenye maambukizi hupewa dawa na uangalizi maalum ili asiambukize mtoto wakati wa kujifungua. Na pia mtoto huachishwa kunyonya mapema.
 
Hichi kibinti mama na baba ake wanao,tena mama ake ni wale wamama mashalah na hanaga noma yule mama alishawah kusema kwamba dogo anao alimzaa nao,pia kuna jamaa yang aliwah piga kwa huyo mama ila akaacha,lakin huyo mama aliwah mfata waendelee na kumweleza kwamba anao ukimwi,yaan yule mama ukimwi ashauchukulia simple tu
Kama umejipata lakini kama bado afya ni mtaji mkuu
 
Ma-ex hasa waliozalishana wanakuwa(ga) na gubu si ajabu lengo ni kumharibia tu mwenzie.
 
VVU vijana hawana elemu yakutosha, kwa sababu mucus za uke ndo kwa asilimia 75 ndo znachangia kwenye transmission ya ugonjwa huu kwasababu hata ukifanya tendo hata kwa sekunde 30 bila mchubuko wowote bado unaweza pata VVU, kwahyo kuupata VVU haijalishi mda ulio tumia au michubuko, ila kinacho matter je unae shiriki nae anazingatia doses kwasababu, hayo mawali kati ya michubuko na mucus vina matter zaidi kama doses znatumika so kijana akapime
Duh mbona mnanitisha Mzee wa kavu
 
nenda kituo cha afya kama haijapita masaa 72, watakupa dawa za postexposure prophylaxis zitakazokukinga.
Kama muda umepita pia nenda kituo cha afya.
Michubuko si lazima inayoonekana, kuna michubuko ambayo huwezi kuiona.
Pia kama huyo mama anatumia dawa zake vizuri uwezekano wa kukuathiri wewe ni mdogo sana. Dawa hufubaza virusi na kuvitoa uwezo wa kuathiri wengine kwa urahisi.

Nenda hospitali kafanye vipimo vya awali, kisha uende tena baada wiki tatu, kisha baad mwezi na baada ya miez miwili, ukiepuka hapo utakuwa salama.
Pole.
 
VVU vijana hawana elemu yakutosha, kwa sababu mucus za uke ndo kwa asilimia 75 ndo znachangia kwenye transmission ya ugonjwa huu kwasababu hata ukifanya tendo hata kwa sekunde 30 bila mchubuko wowote bado unaweza pata VVU, kwahyo kuupata VVU haijalishi mda ulio tumia au michubuko, ila kinacho matter je unae shiriki nae anazingatia doses kwasababu, hayo mawali kati ya michubuko na mucus vina matter zaidi kama doses znatumika so kijana

VVU vijana hawana elemu yakutosha, kwa sababu mucus za uke ndo kwa asilimia 75 ndo znachangia kwenye transmission ya ugonjwa huu kwasababu hata ukifanya tendo hata kwa sekunde 30 bila mchubuko wowote bado unaweza pata VVU, kwahyo kuupata VVU haijalishi mda ulio tumia au michubuko, ila kinacho matter je unae shiriki nae anazingatia doses kwasababu, hayo mawali kati ya michubuko na mucus vina matter zaidi kama doses znatumika so kijana akapime
2weeks naweza pata majibu
 
Back
Top Bottom