Recent content by Bosun

  1. B

    Swali: Kwanini Meli Hupewa Majina ya Kike

    meli hupewa majina ya kike kwa sababu inahitaji matunzo kama mwanamke, vile wanavyoipaka rangi na other maintenances inapelekea kufananishwa na mwanamke
  2. B

    Dar: Meli yenye magari 3,743 yawasili bandarini ikitokea Japan

    brother unazijuwa feeder vessels
  3. B

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    sembola leboko
  4. B

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    bebe extra 20 by melody mbassa
  5. B

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    bebe extra 20- melody mbasasa
  6. B

    Tuna la kujifunza kutokana na ajali ya ferry Likoni

    Rescue center ipo hapo ferry kwenye control tower
  7. B

    Call for Interview-Tanzania Ports Authority(TPA) 22-May-2019

    Namshukuru Mungu nimepigiwa simu nimeambiwa niripoti jumanne
  8. B

    Wapenda hiphop tusemezane ukweli hapa

    Meek mill aliropoka tu kwamba drake anaandikiwa ngoma sijui ana ghost writer ila moyoni alijua kuwa drake siyo mtu mzuri
  9. B

    Wapenda hiphop tusemezane ukweli hapa

    Achaneni na mumble rappers, drake ametoa album inaitwa care package ni bonge moja album
  10. B

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Kila Pasi wanayopiga ni mbovu tu
  11. B

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Ashley young na Phil Jones sijui kwanini waliongezewa mikataba hawa watu
  12. B

    Call for Interview-Tanzania Ports Authority(TPA) 22-May-2019

    Kwa watu waliochaguliwa sailors or mooring hands kulikuwa na mtihani wa kuogelea kwenye maji ya bahari yenye kina kirefu
Back
Top Bottom