Ungewezaje kwata ilhali ulivaa zuti na tai ukidhani kuwa unaenda kufanya mazungumzo!!mzee kuna kwata afu sjui m binafs nljitoa kama kuna mtu albak bas kuna no. ilkosa mtu siitaji wasje kunifatilia, kwata, mwendo wa haraka, heshma, kugeuka, na waltenga magroup matatu ko wangne leo na mwsho kesh na ulkua umat binafs nljtoa nkaona wacha nkasome kwanza, ila kwata nsgeweza
Ubishi mwingi mbele kiza