Nimeangalia mechi..nimenote vitu hivi
1.Matic ameisha,anaelekea mwisho..
2.Bado tunahitaji beki wa kati..smalling na jones bado perfomances zao ni mbaya
3.Watoto wa academy wako vizuri; Hapa namzungumzia Gomez,Chong,Greenwood..hawa madpgo wameonesha perfomance nzuri sana
4.Anthony Martial anahitaji kujituma zaidi maana anaonekana ameridhika sana uwanjani..hana njaa ya magoli!!
5.UNITED Inamuhitaji POGBA sanaaaa..baada ya pogba kuingia kipindi cha pili aliweza kubadili mpira na kuchezesha vizuri pia kusukuma mashambulizi..Mtu asiwadanganye jamani POGBA inabidi abaki kwa gharama yoyote ile.
6.Overall performance ya timu bado iko chini..imestruggle sana kupata magoli..i give 75% to today's perfomance.
Note;Tunahitaji Midfields wawili na CB mmoja mwenye AKILI na nGuvu.