Mfahamu Baharia wa meli, Idara za meli na nafasi za mabaharia katika meli

Offshore Seamen

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2018
Messages
967
Points
1,000

Offshore Seamen

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2018
967 1,000
Hivi kumbe huwa hakuna kitengo cha maalumu kwa wale divers wanaenda kutoaga nanga ikizngua n.k
Divers wanaajiriwa kulingana na uhitaji wa chombo.
Meli nyingi za abiria huwa wanatembea na Divers kujihami na tahadhari ya mtu kuingia majini( Man overboard).

Kwa meli kubwa Diver hana ubavu wa kutoa nanga ikizingua. Nanga inaweza kuwa na uzito hata wa tani 5 huyo Diver hawezi kufanya lolote.
 

Capitano

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2011
Messages
1,281
Points
2,000

Capitano

JF-Expert Member
Joined Apr 7, 2011
1,281 2,000
Engineer wa meli alisoma Ubelgiji na akafanya kazi kwenye meli kubwa nadhani kwa mwaka 1.
Samahani bwana mkubwa picha uliyoiweka kwenye avatar inafanana sana na baharia mmoja hivi ambae siku hizi anafanya kazi ya kutoza ushuru. Kama ni wewe capt, T basi mie ni capt. mdudu ru.....
 

Forum statistics

Threads 1,344,912
Members 516,083
Posts 32,839,641
Top