Swali: Kwanini Meli Hupewa Majina ya Kike

Swali: Kwanini Meli Hupewa Majina ya Kike

MSC Qingdao
MSC seragoon
Safmarine Ngami
Safmarine Nyasa
Hoegh Brasilia
Hoegh autoliner
MSC Denise
Jolly Quarzo
Jolly perla.
Williemnus williemsen


Sio kila meli INA jina LA kike.

Inategemeana na nchi iliposajiliwa , kama nchi hiyo iliwahi kuwa chini ya utawala Wa muingereza (malkia)
 
Hata Mimi Leo Nataka kufahamu why majina ya meli yawe ya kike tupu....mfano Kuna kampuni inaitwa MEDITERRANEAN SHIPPING COMPANY ina meli Zaidi ya 1500 lakini meli zote zina majina ya kike....
VhHlRdv.jpg

mQsn9FP.png

2XGdVHP.png

wYvlLgj.png

Ts8O5fs.png

osWFqNj.png

G3SgdYW.png









Wajuvi Naomba jibu
 
Hata Mimi Leo Nataka kufahamu why majina ya meli yawe ya kike tupu....mfano Kuna kampuni inaitwa MEDITERRANEAN SHOPPING COMPANY ina meli Zaidi ya 200 lakini meli zote zina majina ya kike....
VhHlRdv.jpg

mQsn9FP.png

2XGdVHP.png

wYvlLgj.png

Ts8O5fs.png

osWFqNj.png

G3SgdYW.png









Wajuvi Naomba jibu
Hataree...
 
Kaswali kagumu mkuu lakini kuna kitu niliwahi ku - study baada ya kusoma kitabu kinaitwa Treasure Island. Kwanza si meli zote zinakuwa addressed as 'she'. In most cases ni Naval Ships.

Na sababu ni kwamba, Sailors wengi hutumia muda mwingi wakiwa melini kama ambavyo wangetumia na wake zao nyumbani. In short ni mambo ya kitamaduni tu ya Wahispania na Waingereza wa kale
Mostly walikuwa wanatoa majina ya mama zao. MV - Marine Vessel. Hata pilots wa ndege zamani walikuwa wanatoa majina ya mama zao.

It's about loneliness in the sea lakini pia sababu Captain anaitumza Ile meli kama mwanamke wake na hawezi kuiabandon hata Kama inazama atakuwa wa mwisho kukubali kwamba sasa inabidi aachie ajiokoe baada ya kuokoa watu wote na kujitahidi kuipkoa meli.

Pia ipo inspired na kiapo Cha seafearers.
 
Meli hupewa majina ya kike eg MV Francesca, MV Azizzer, MV Juliana, MV Mariana etc
Aidha, hata katika lugha ya kiingereza huwa prefixed as "she".
Naomba kujulishwa sababu ?
Zawadi ya Mwaka Mpya itatolewa kwa atakayejibu kwa ufasaha.
Si kweli Ndugu mbona Linea Messina ni jina la Kiume la Kigiriki na kuna Meli ya MV Linea Messina?
 
Ni kwasababu tunazipanda si unajua kiasili kitu kinachopandwa ni cha kike.
 
Meli hupewa majina ya kike eg MV Francesca, MV Azizzer, MV Juliana, MV Mariana etc
Aidha, hata katika lugha ya kiingereza huwa prefixed as "she".
Naomba kujulishwa sababu ?
Zawadi ya Mwaka Mpya itatolewa kwa atakayejibu kwa ufasaha.
OffshoreSeamen
 
meli hupewa majina ya kike kwa sababu inahitaji matunzo kama mwanamke, vile wanavyoipaka rangi na other maintenances inapelekea kufananishwa na mwanamke
 
Hata vimbunga vina majina ya kike.

Wonders shall never end
 
"Our good Lady" ETA- Expected time of Arrival is 19h00. Meli bila kujali ni ya Aina gani zinapewa heshima kubwa sana kwa utumi wao. Meli hubeba mizigo ya u kubwa na uzito wa ajabu ndani ya "matumbo" yao. Hupita njia yenye misukosuko mkubwa hadi kufika ngambo ya pili. Kama tunavyowapa heshima mama zetu ndivyo hivyo hupewa hizi meli... Imekua ni mapokeo mema toka Enzi. Fukiri bila ugunduzi wa Chombo hiki Dunia hapo ulipo ingekuwaje
 
Sababu za meli kuwa referred as she kuna sababu nyingi sana na sababu zote zilianzishwa kama utani hazikua sababu za ki science wala nini lakin had Leo hii zinaendelea kutambulika kwa majina ya kike, japo siyo zote na zipo meli zingine zina majina ya kiume

Wakati meli zimeanza kutengeneza ilikua ni wanaume wenye uzoefu peke yao ndo wanaruhisiwa kuwa on board kuiongoza, tabia ya meli ilifananishwa na tabia ya mwanamke kutokana na meli inahitaji uangalizi mkubwa sana hivyo wanaume wote waliokua ndan ilikua ni jukumu la kila mmoja kuwa nayo makini maana ili meli ikujali ni lazima wewe uijali kwanza na kama hautaijali basi na yenyewe haitakujali na mbaya zaid ilikua haitabiriki Leo inaweza ikawa rafiki lakin kesho ikakubadilikia.

Lakin pia mbali na meli kuhitaji uijali uendeshaje wake ni gharama sasa kutokana na hali hiyo pamoja na kuwa inatawaliwa sana na wanaume katika kuiongoza wale sailors wakawa wanaziita kwa majina ya kike maana mwenendo na tabia ya meli walizifananisha na tabia za wanawake na wala hakuna sababu zingine za maana zaidi
 
Si kweli Ndugu mbona Linea Messina ni jina la Kiume la Kigiriki na kuna Meli ya MV Linea Messina?

Si kweli Ndugu mbona Linea Messina ni jina la Kiume la Kigiriki na kuna Meli ya MV Linea Messina?

Nahisi hujaelewa.....hiyo kampuni inaitwa Mediterranean Shipping Company kifupi MSC meli zake zote zina majina ya Wanawake tofauti Na hiyo kampuni ulioitaja ya kiitaliano inayoitwa messina Na meli zake zote zinaitwa LINEA MESSINA kwa kitaliano wakimaanisha MESSINA LINE Na katika hizo meli hakuna jina lolote zaidi ya hiyo LINEA MESSINA sasa kwenye MSC ni tofauti unakuta meli ina
IMG_0010.jpg

jina la MSC alafu mbele kuna jina la kike mfano tazama picha hapo chini
IMG_0009.jpg

IMG_0013.jpg

IMG_0012.jpg

IMG_0011.jpg

View attachment 2007474
View attachment 2007475
View attachment 2007476
View attachment 2007477
View attachment 2007478
View attachment 2007479
 

Attachments

  • IMG_0015.jpg
    IMG_0015.jpg
    22.9 KB · Views: 18
  • IMG_0014.jpg
    IMG_0014.jpg
    26.3 KB · Views: 16
  • IMG_0017.jpg
    IMG_0017.jpg
    38.5 KB · Views: 17
  • IMG_0016.jpg
    IMG_0016.jpg
    40.4 KB · Views: 16
  • IMG_0021.png
    IMG_0021.png
    23.7 KB · Views: 16
Back
Top Bottom