Recent content by bongobongo

  1. B

    Special Thread kwa ajili taarifa za wajeruhi wa ajali kutoka hospital Mercy, Sioux City IA

    Jee kuna update yoyote kuhusu maendeleo ya kina doreen na wenzake. Huwa tunafatilia mjue
  2. B

    Inaelekea mapepo huwa yanaogopa sana sauti kubwa za spika

    Vipaza sauti vya waislamu ni kwa muda nfupi siyo kwa walokole ni usiku kucha na mchana kutwa watu hatulsli kwa mikelele ya kuwaombea wagonjwa na mizik i ya sauti kali!! Inakera sana!!
  3. B

    Masomo ya kilimo na ufugaji

    Nami ni add 0784674578
  4. B

    Ester Bulaya amshinda Stephen Wassira kwenye Rufaa kesi ya Ubunge

    Ni stay tuned kiingereza sahihi
  5. B

    Naomba muongozo kuhusu Ufugaji wa kuku

    Na mm nataka kujiunga. Namba ya whatsapp 0784674578
  6. B

    Uchunguzi wa Daktari wakamilika: Aliyetobolewa macho na Scorpion hatoweza kuona tena

    Mi nashauri Mkuu wa Mkoa aanzishe mfuko wa kumchangia aende India miono ya madaktari hapa inaweza kuwa tofauti na ya wenzetu huko nje. Madakatari kama India wana utaalamu 8mkubwa anaweza kupandikizwa vitu huyo bwana akaona. Ila badonina uhakika akienda India anataona tu. Jsmani tumsaidie...
  7. B

    Tunga Sentesi inayoanza na Sometimes

    Naomba nijuzwe ni wakati gani tunayumia maneno haya ipasavyo wengine sometimes badala ya sometime!!
  8. B

    Nimeshangaa kukuta Benki ni kweupe

    TraNsaction nyingi ni kwa mitandao huna haja ya kwenda benki ndio maana misururu hakuna
  9. B

    Janja mpya ya trafik 'kupiga pesa' hii hapa!

    Leo ni Leo Traffic Police ananiuliza risiti ya petrol!!! Hii ni baada ya kutoka pale petrol station ya junction ya pugu road na chang'ombe road nikashangaa badae nikajua alidhani nimetanua kwa kuunganisha petrol station kuingia barabara kuu. Hv sheria inasenaje hapo?
  10. B

    Natafuta fundi wa kutengeneza mlango wa gari ya porte

    Mlango wa gari ya Toyota Porte ni automatic. Nilipeleka gari kuoshwa baada ya hapo ile automatic ya kufunga na kufungua mlango inegoma. Kama kuna fundi anitafute kwa namba 0784674578
  11. B

    Mbowe: Mpango wa kuhamia Dodoma ni wa kukurupuka

    WaKishAhama mambo yatajiseti tu.anavyosema Mbowe ni sawa na kujenga nyumba unaanza na nia ya kujenga ndio utajenga ukingoja upate mabilioni wala hutajenga. Na kumbuka sasa wananchi wanachangamkia fursa hiyo. Nyumba zitsjengwa miundombinu itaimarishwa. Hawa Ukuta sijui ukawa sijui ukiwa mi...
  12. B

    Lowassa kuzungumza na Taifa Jumapili hii

    Mjumbe wa kamati kuu ya chadema kuongea na taifa!!!!!!! Ni Rais pekee ndio anaongea naTaifa kwa taarifa yako huyo atakuwa kwenye kipindi cha mahojiano tu
Back
Top Bottom