Mbowe: Mpango wa kuhamia Dodoma ni wa kukurupuka

Mbowe: Mpango wa kuhamia Dodoma ni wa kukurupuka

Hawa Chadema wanapinga kila kitu wanasahau kuwa walihubiri mabadiliko wakati wa uchaguzi???

Sasa walitaka mabadiliko ya nini wakati kumbe wanapenda mambo yabaki as usual??

Mahakama ya Mafisadi wanapinga

Kuzuia safari za nje wanapinga

Kuhamia Dodoma wanapinga

Kukusanya kodi wanapinga.

Majambazi kukamatwa wanapinga.

Walihubiri mabadiliko kumdanganya nani??

Natamani sana sana kujua kiwango chako cha elimu
 
Sasa ndugu, ni lini magu alisema serikali itahamia Dodoma mwaka huu?? amesema kufikia 2020 watakuwa wameshahamia Dodoma. unamlisha maneno mzee wa watu ili upate cha kongea eh!
Umemsikia Majaliwa?
 
DODOMA Kuna Hospital Yenye Hadhu kubwa kama Muhimbili ?
Kuna Madaktari wangapi ? au ndo Wale wamuhimbili watapelekwa huko
Afya tu ni mgogoro
elimu ndio usiseme, huko shule zote utata mtupu...sasa wahamie wizara zote huko..na watoto wao...itabidi na walimu nao wahamishwe
ni total chaos kwa hakika
 
Huyu nae kakaa kimya anakuja na yale yale ya kudakia na kupinga kila kitu cha Raisi...

Kweli viongozi wengine sijui kwanini mnawapa chati wakati wameshukaaaa na hawajawahi hata kupanda kabla... Kudakia tu no jipya kutoka kwao bora likatikisa vichwa vya wengine sie.

Anayamaze aacha Raisi afanye yake. Watahama tu

Jibu hoja alizotoa Mh. Mbowe, acha kubwabwaja kama asiye na ufahamu wa chochote
 
Jibu hoja alizotoa Mh. Mbowe, acha kubwabwaja kama asiye na ufahamu wa chochote

Hahahaaaa si ujibu wewe, mimi unanilazimisha ananilisha huyo...mnapenda watu wawe wafata mkumbo...kwangu hiyo neva...
 
DODOMA Kuna Hospital Yenye Hadhu kubwa kama Muhimbili ?
Kuna Madaktari wangapi ? au ndo Wale wamuhimbili watapelekwa huko
Afya tu ni mgogoro
elimu ndio usiseme, huko shule zote utata mtupu...sasa wahamie wizara zote huko..na watoto wao...itabidi na walimu nao wahamishwe
ni total chaos kwa hakika

Yaani awashangaa wanaoshobokea kwenda Dodoma, utafikiri hawana ubongo. Kwani DSm inawaka moto hadi tukurupuke kiasi hiki? Aibu gani hii jamani?
 
kwani Dodoma si wanaishi watu kama huko dar ? Watatibiwa hospitali hizo hizo za Dodoma na watoto wao watasoma shulu hizo hizo wanazosoma watoto wa Dodoma ..
 
Hawa Chadema wanapinga kila kitu wanasahau kuwa walihubiri mabadiliko wakati wa uchaguzi???

Sasa walitaka mabadiliko ya nini wakati kumbe wanapenda mambo yabaki as usual??

Mahakama ya Mafisadi wanapinga

Kuzuia safari za nje wanapinga

Kuhamia Dodoma wanapinga

Kukusanya kodi wanapinga.

Majambazi kukamatwa wanapinga.

Walihubiri mabadiliko kumdanganya nani??
Mkuu hebu acha kamba.. Hebu nioneshe huo ushahid kua chadema walipinga kukamata majambazi??
 
Yaani awashangaa wanaoshobokea kwenda Dodoma, utafikiri hawana ubongo. Kwani DSm inawaka moto hadi tukurupuke kiasi hiki? Aibu gani hii jamani?
kuhamia dodoma ni lazima sio ombi asietaka kwenda dodoma aache kazi
 
kwa nini unasema wamekurupuka wakati CDA ipo mika nenda miaka rudi kufanya maandalizi hayo?

Mkuu, kama mpaka wakati wa uchaguzi mwaka jana, hawakujua kama wanahamishia Serikali huko Dodoma ifikapo September 2016, basi wamekurupuka. Definition ya kukurupuka imetolewa ipo hapo juu.
 
Cha ajabu ni kwmaba mda si mrefu nimesoma HABARILEO likiandika Lowasa ampongeza raisi Magufulu kwa kazi yake, na pia amechukulia hilo hamisho kua ni jambo zuri, na pia akatoa ushauri kwamba Magufuli afanye taratibu kwa huo hamisho. Angalao leo ndio nieona maneno mazuri ya upinzani hasa kutoka kwa Lowasa, akitoa pongezi pia pia akitoa ushauri

...habari leo!!
 
Watu hawajasema kuhamia Dodoma ni mbaya (Acha ku-spin), Wakosoaji wanasema serikali "imekurupuka". Hoja iko hapo.

Miaka zaidi ya 40 serikali ya kuhamia Dodoma from Dar ,imekuwa kama safari ya wana Israel from Egypt to Canaan (Palestine acient land)
Is it a joke?Maamuzi ya kuhamisha capital yalipita kwa ngazi za chama na serikali ya wakati huo iliokuwa madarakani tokea Uhuru na ndio hiyo hiyo imezinduka usingizi wa pono kufanya wajibu wake. Kwa mantiki hiyo sio jambo au swala la kukurupukuka,ila yaonyesha umetanguliza uoga wa maamuzi tulioamua kisheria miaka zaidi ya 40.Stay focus on big picture.
 
Nyie voda fasta, ndiyo maana mnafeli mitihani. Waleta hoja wanasema serikali imekurupuka. Hawajahoji kwa kwa nini inahamia Dodoma. Mnaacha kujadili hoja mnajadili kitu ambacho hamjaulizwa.
voda faster etieee uko juu sana ww tigo faster.
 
kwa nini zisihame? Dodoma kuna miundombinu ya kutosha kuhamisha wizara zote hata leo hiii hiii....Kuhamia dodoma kutainua uchumi wa dodoma na mikoa mingi jirani acha akili mgando dogo
Tatizo sio ofisi tunaongea maslahi mapana ya watumishi, kuna ndugu yangu wamehamishwa wiki mbili zilizopita na hawalipwa stahilizao mpaka leo. Nyumba za kupanga ni chache hadi watu wanaishi chumba kiomoja kama wako shule za bweni.
 
Mbowe ameongea kwa mifano na hoja, wewe unajibu kwa ngonjera. Hebu onesha jinsi huo mpango ulivyo positive huku ukimrejea Mbowe kwa yale aliyoyasema kuhusu BAJETI, USUMBUFU, FAMILIA NA MIFUMO YA KIUCHUNGUZI YA POLISI
WaKishAhama mambo yatajiseti tu.anavyosema Mbowe ni sawa na kujenga nyumba unaanza na nia ya kujenga ndio utajenga ukingoja upate mabilioni wala hutajenga. Na kumbuka sasa wananchi wanachangamkia fursa hiyo. Nyumba zitsjengwa miundombinu itaimarishwa. Hawa Ukuta sijui ukawa sijui ukiwa mi siwaelewi. Wazo kuu kwao la maana ni kuandamana tuu!!
 
Magufuli amesema kuhamia Dodoma ni ndani ya miaka 4 iliyobaki ya utawala wake.
 
Mkuu, kama mpaka wakati wa uchaguzi mwaka jana, hawakujua kama wanahamishia Serikali huko Dodoma ifikapo September 2016, basi wamekurupuka. Definition ya kukurupuka imetolewa ipo hapo juu.
nani amesema wanahamisha serikali yote by September 2016?
 
Back
Top Bottom