Ilikua ukisikia anauaaaa..ni mwendo wa speed mabwenini.nakumbuka mshkaji wangu mmoja alikua nyerere,Balugu akaja dorm,jamaa alikua bwenini akakimbilia chooni.Ticha akamfuata kulekule,wakaenda dorm jamaa akavaa nguo wakaongozana mpaka ofisini,walipofika mlango wa ofisi akamwambia jamaa amsubiri...