Tiba
JF-Expert Member
- Jul 15, 2008
- 4,607
- 3,187
hapa sasa hivi nasikiliza ebenezer ..naupenda huu wimbo
Hakuna wimbo ambao uwa naona unaniweka karibu na Mungu kama Ebenezer. R.I.P Angela.
Tiba
hapa sasa hivi nasikiliza ebenezer ..naupenda huu wimbo
Yaweee ee uhimidiwe, uwaminifu wako unajulikana ,kwa mataifa yote ya ulimwenguuuu yaweee., umeumbaaa lakini hauku umbwaaa... na mwingine Nataka nitoke chini,toka chini kwenda juuu, chini kunamagonjwa ........