Wale jamaa wanapenda sana ''kuwezeshwa''. In principle ndani ya wiki moja unapata passport kama viambatanisho vipo sawasawa (form kujazwa bila makosa, birth certificate, barua ya mwajiri (if applicable) kuthibitisha safari yako etc etc). Wengine huwa wanazipata ndani ya siku tatu