Amina, ombi langu kwa Mungu na wewe ambae bado haja ya moyo wako haijajibiwa ukumbukwe na Baba usikate tamaa keep on prayin and prayin and prayin.........
zaidi sana imani maana unaweza kukauka koo kwa kuomba. huku imani yako ni [0] haswa wapendwa [imani] ni jiwe la msingi wa maombi yako,na sio maombi kwanza imani ifuate, [ebrania 11:1] [rumi 10:10] yesu awe nawe ukawe balozi mzuri wa BWANA YESU ktk kazi yako kwa matendo yako wasio amini wakamtukuze BABA yako wa mbinguni: [mt 5:14 > 16] amen.