Davis chelsea
Member
- Jul 28, 2011
- 93
- 10
Habari za hapa wakuu,
Nilishut down laptop yangu aina ya lenovo g500 nilipokuja kujaribu kuiwasha inawaka poa kila kitu kinafanya kazi hata ukiweka cd inazunguka vizuri lakin screen haionyeshi chochote (total black), nimejaribu soln hizi bila mafanikio, nimebadili memory na pia nimetoa bettry nikahold start button for 60sec then nikaplug power back na kuboot bila mafanikio.
Mwenye kuweza kutatua hili tatizo naomba msaada wakuu.