Recent content by Bobo Doll

  1. Bobo Doll

    Wanatakiwa haraka wataaramu wa kufanya Risk Assessment

    Point of correction..ni WATAALAMU na sio WATAARAMU[emoji38][emoji38]
  2. Bobo Doll

    Bei ya SUKARI mikoa mbalimbali Tanzania

    Huku singida sukari kilo ni 3000
  3. Bobo Doll

    Kufungwa kwa Vituo Vidogo vya Polisi Saa 12 jioni, Nani ana jukumu la kuwalinda Raia?

    Kuna aina mbali mbali za vituo vya polisi, kuna class A police stations, class B police stations na class C police stations..kila aina ya kituo cha polis hapo kina sifa zake, kwa mfano class A hua ni vile vituo ambavyo vipo kati kati ya jiji na hua vinafanya kaz masaa 24, vile vile class B ni...
  4. Bobo Doll

    Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

    Why international date line is zig zag??...
  5. Bobo Doll

    Nimemtelekeza supermarket na bili ya laki nne

    Ha ha ha ha haaaa..huu uzi umenifurahisha aisee, hasa pale ulipopiga u turn kali nakumat na kujichanganya na wahind ukasepa...ha ha ha haaaaa..noma kweli mshkaj wanguu!!
  6. Bobo Doll

    Majeshi ya Tanzania na huduma za dezo

    Ww unayejiita baba "h" hujui ulisemalo..et wanajeshi hawana kazi!!..nani kakwambia?, ulinzi wa mipaka ya nchi nani anafanya??...kila mtu ktk sekta aliyopo ana umuhimu wake na sio kusema kaz ya flan ni bora kuliko flan..you better think propery kabla hujaanza kubwabwaja mambo usiyo na uhakika nayo..
  7. Bobo Doll

    Natafuta Boyfriend ambaye atakuwa mume baadae

    Dah, hapo kwenye umri chacha...
  8. Bobo Doll

    Huwezi Kufanikiwa Kimaisha bila ya kuwa na mwanamke hapa duniani

    For every successful man there is a women because women choose only successfull man..
  9. Bobo Doll

    Usaili magereza

    Kwa tetes nilizo nazo ni tarehe 16 desember, usiniulize nimezitoa wapi..
  10. Bobo Doll

    Kilimanjaro: Mwalimu afumwa na Mwanafunzi wake Nyumba ya kulala wageni

    Kabla ya kuropoka na kutoa mitusi ya nguoni mambo ya kujiuliza hapa ni kwamba..huyo mwanafunz ana umri wa miaka mingapi?, km ni chini ya miaka 18 bas jamaa ashitakiwe kwa kosa la ubakaji hata kama dent alikubali kwa hiari yake...kinacho nipa utata kama bint atakua na zaid ya miaka 18 jamaa...
  11. Bobo Doll

    Naomba msaada ndugu zanguni

    Kumbe kuna wataalam humu eeh..
  12. Bobo Doll

    BMW X6 gari alilopewa Diamond kama zawadi ya Birthday

    Siku hizi sio "mwendo wa vipara" bali ni mwendo wa magarii..
Back
Top Bottom