Fauna_tropical
Member
- Jun 7, 2016
- 65
- 35
Timex Na Espirit
Mkanda wa chuma ni tetenasMi sijui kwann,SAA hata iwe nzuri kiasi gani lakini kama ina mkanda wa ngozi kwangu hamna kitu.
Mkanda wa chuma bhana ndo mpango mzima.

mbona una vinyweleo sana? mkono wako upo very romantic !!!!!!!!

Damn!"Cant chill,but my wrist will"![]()
I rocks HUBLOT
mbona una vinyweleo sana? mkono wako upo very romantic !!!!!!!!
Patel phillippe is my best...Zenith Christopher Columbus
ila ndio hivyo tena sina uwezo nimeishia tu kwenye Patek Philippe
I love that brand bhana...nililetewa zawadi na mjomba nikiwa form I nilivaa hiyo saa for ten years.siku iliyovunjika nililia ka mtoto..PATEK PHILIPPE (Geneve) OG
Breitling
Tag Heuer
Audemars Piguet
A. Lange & Söhne
Punguza wengeboss wangu ana simu moja hyo unanunua gari kabisa
basi tu