Bei ya SUKARI mikoa mbalimbali Tanzania

Bei ya SUKARI mikoa mbalimbali Tanzania

Nimenunua leo kg 3500 sikuamini nimemkumbuka saaanaa mkapa kilo ilikuwa mia5
 
Aliyeificha sukari anajulikana ila nashangaa wanamchekea chekea tu badala ya kumtumbua! besides dawa ya uhaba si kuagiza,bali uzalishaji uongezwe vijana na wakulima wapate ajira.
Mimi naamini bado hata sukari iliyofichwa ni chache kulinganisha na mahitaji ya nchi, hivi kama kweli ni nyingi mtu ataficha ya nini? hivi wewe kama unauza mchele utaficha mchele ili usiuze kama mchele upo mwingi mtaani? si utakula hasara mwenyewe co kila mtu anamchele. Ndo sukar iv ingekuwa ni nyingi bado tusingejua kama kuna mtu kaficha,ila timejua kwa sababu ni chache. By the way bado pia ninaamini kua uamuzi kupiga marufuku ghafla ndio umelighalimu taifa,angeenga awamu kwa awamu kupunguza kiwango cha sukari kutoka nje ,kama angeenda taratibu bas hali isingekuwa mbaya kama ilivyo sasa, naona serikali ya matamko ilienda kwa pupa mno
 
Bei elekezi ilikuwa sh.1800 kwa kilo. Leo hii ni sh.2500 mpaka 3500 kwa kilo.

Nikapenyapenya mpaka kwa wadau.. Kwa masikio yangu nikawasikia; ''Na itapanda mpaka ifikie bei ya nyama.... Mbona nyama ni sh. 8000 mpaka 10,000 na watu wananunua?" MWISHO WA KUNUKUU.

Summing up my essay;

1. Serikali inapewa taarifa za uwongo
2. Wadau wanahujumu uchumi kama enzi zilee za Sokoine.
 
Bei elekezi ilikuwa sh.1800 kwa kilo.
Leo hii ni sh.2500 mpaka 3500 kwa kilo.

Nika penyapenya mpaka kwa wadau.....kwa masikio yangu nikawasikia...''Na itapanda mpaka ifikie bei ya nyama....mbona nyama ni sh.8000 mpaka 10,000 na watu wananunua?".....MWISHO WA KUNUKUU.

Summing up my essay...1.Serikali inapewa taarifa za uwongo
2.Wadau wanahujumu uchumi kama enzi zilee za Sokoine.
Sijui watamwaga wajeda mitaani kama wakati wa kuhesabu kura!!!!

PUNDA KAFIKISHWA MTONI ANAANZA KUGOMA KUNYWA MAJI TUONE ITAKUWAJE.
 
Bei elekezi ilikuwa sh.1800 kwa kilo.
Leo hii ni sh.2500 mpaka 3500 kwa kilo.

Nika penyapenya mpaka kwa wadau.....kwa masikio yangu nikawasikia...''Na itapanda mpaka ifikie bei ya nyama....mbona nyama ni sh.8000 mpaka 10,000 na watu wananunua?".....MWISHO WA KUNUKUU.

Summing up my essay...1.Serikali inapewa taarifa za uwongo
2.Wadau wanahujumu uchumi kama enzi zilee za Sokoine.

Dah,
 
Geukieni chumvi ukiizoea ni tamu Tu kwenye chai# 500 Tu kwa packet
hili ni jukwaa la kujadili vitu vya msingi kwa taarifa yako linajulikana kimataifa kwani ni sehemu pekee ambapo mtu anapewa uhuru wa kujieleza sasa naona mkuu unaleta masihala mbona kuna jukwaa la utani au we unaishi kwa shemejiyo huachi kodi ya nyumba?
 
Bei elekezi ilikuwa sh.1800 kwa kilo.
Leo hii ni sh.2500 mpaka 3500 kwa kilo.

Nika penyapenya mpaka kwa wadau.....kwa masikio yangu nikawasikia...''Na itapanda mpaka ifikie bei ya nyama....mbona nyama ni sh.8000 mpaka 10,000 na watu wananunua?".....MWISHO WA KUNUKUU.

Summing up my essay...1.Serikali inapewa taarifa za uwongo
2.Wadau wanahujumu uchumi kama enzi zilee za Sokoine.
Ila MI naimani wakati ukifika Kila Mmoja atavuna alichopanda
 
Dah!!!jana nimeenda mgahawani nimenunua chapati,chai na maharage.cha kushangaza nikawekewa sukari na kukorogewa,kisha kwenye maharage hajaweka sukari,kisha akaiweka kwenye kabati!!!nikakumbuka juz nilinunua sukari robo sh 700 Dar,kiwalani
 
Kulingana na ripoti ni kwamba, sukari iliyopo nchini/inayozalishwa ni ndogo kuliko mahitaji ya sukari. Sasa kuagiza nje hakukwepeki.

Ila kuna mchezo wa kuhodhi sukari kwenye maghali ili kutengeneza uhitaji wa sukari kwenye soko ili wafanyabiashara wapate fedha zaidi, huo ni ulanguzi na ni uhujumu uchumi.

Dawa yao hao wanaochezea soko la sukari kwa maslahi ya mifuko yao ni moja! Serikali inawajua, iwalete huku mtaani kwa raia tuwajua na sisi TUSUSIE kununua bidhaa zao nyingine kuacha sukari(wanajulikana tuache kununua sabuni, mafuta na vyakula vyao n. K).. Watalegeza tu uhujumu wao.

Bodi ya sukari ipo ila haifanyi kazi, sijui inakazi gani... Ni vile serikali haitaki kujishughulisha na biashara kwa asilimia 100. Wangejikita kwenye bidhaa kuu muhimu za mahitaji ya kila siku/mara.. Kama vyakula na vinywaji. Waweke udhibiti na usimamizi wa kudumu. Kama inavyoshikana na MSD kuhusu madawa na vifaa tiba.

Rais wetu atafelishwa na wafanyabiashara wachache wanaotumia siasa kama kichaka chakujificha na kutengeneza sera na miradi kwa maslahi yao.

Siku zote serikali ikianza kuchezewa na wajasiriamali na wawekezaji hasa wakubwa ndio mfumuko wa bei za bidhaa unakuwa mkubwa! Na mfumuko mbaya zaidi ni ule wa bei za vyakula. Wote tunajua kile anaweza fanya mwanaume akiwa amezidiwa njaa. Tuombe tusifike huko.

Swala la kusema tulime miwa kwa wingi tujitosheleze ni sawa. Ila kwa huu muda wa sasa tunajitosheleza vipi kwa sukari ? Na je viwanda vyetu vina uwezo kiasi gani? Teknolojia yake ikoje? Tusije tukalima miwa kwa wingi ikaishia kuoza na kuharibika kama machungwa na maembe ya kule Tanga.
 
Bei elekezi ilikuwa sh.1800 kwa kilo.
Leo hii ni sh.2500 mpaka 3500 kwa kilo.

Nika penyapenya mpaka kwa wadau.....kwa masikio yangu nikawasikia...''Na itapanda mpaka ifikie bei ya nyama....mbona nyama ni sh.8000 mpaka 10,000 na watu wananunua?".....MWISHO WA KUNUKUU.

Summing up my essay...1.Serikali inapewa taarifa za uwongo
2.Wadau wanahujumu uchumi kama enzi zilee za Sokoine.

Bei ya vitu inakuwa na uwiano wa upatikanaji wa bidhaa, usambazaji wake na uhitajikaji wake,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom