Huwezi Kufanikiwa Kimaisha bila ya kuwa na mwanamke hapa duniani

Mimi huwa naoa kwa mkataba tu,tena wa miaka miwili miwili.
mambo ya kujipa presha sitaki,maisha yenyewe mafupi sana
 
pamoja na hofu tuliyonayo vijana wengi juu ya wanawake na usaliti wao wa kutisha lakini tafiti mbalimbali zimeonyesha kuwa wanaume wengi waliofanikiwa hapa duniani nyuma yao kuna wanawake walioteseka nao au kuwapa moyo au kuwaombea hadi kujikuta wakifanikiwa kimaisha,ni kweli wanawake ni pasua kichwa,ila ukibahatika ukapata mwanamke mwaminifu na anayekupenda kwa dhati 'true love' nakuhakikishia kuwa kamwe huwezi kufa masikini,labda usiwe na plan yoyote ktk maisha yako,ila kama una plan lazima ufanikiwe,wanawake wametesa na kusababisha mauti kwa wanaume wengi sana kote duniani,na wanawake hao hao wamefanya wanaume wengi duniani watajirike,unapokuwa na mrembo unayempenda naye anakupenda,lazima utajituma kwa bidii kufanya kazi ili uwe na pesa,nyumba nzuri,gari zuri na n.k,tofauti na kama unaishi ki bachelor,leo una Amina kesho una Janet kwa staili hiyo ya maisha ni ngumu sana kufanikiwa,ukiwa na mwanamke mnaependana lazima utahangaika ili kujenga future ya watoto wenu,Behind every man's success there's a woman.

WRONG. Kwa haraka haraka naweza kukupa mfano moja tu wa Sir Edward Heath aliyekuwa waziri mkuu wa Uingereza miaka ya 70. Huyu alikuwa bachaleor mpaka kifo chake 2005.Wako na wengi tu hata Afrika ambao hawakuoa na wamekuwa na maanikio makubwa.
 
Its True,that behind any successful man there is a woman."THAT WOMAN IS YOUR MOTHER".

Ni kweli ulivosema. Mwanamke mwaminifu na aliyenipenda kwa dhati ni marehemu mama yangu. Mafanikio niliyopata za mali duniabali uhai hadi nimeweza kuchangia kwenye FM
 
Hayo ni maneno tu lakini uhalisia hauko hivyo, wanawake hao hao wanataka walio na kitu ukiwa huna kitu hupat mwanamke miaka hii
 
kwa nini watu tunakuwa wagumu sana wa kuelewa? nimesema hadi ubahatike kupata mwanamke sahihi ndiye atakuongoza ktk mafanikio siyo bora tu mwanamke,najua fika kuwa wanawake asilimia 99 wanapenda wanaume waliofanikiwa tayari kimaisha,wafike na kukuta pesa,magari,majumba mazuri hapo kila muda atakuita honey,hao ndo waliopo,ukipata mwanamke wa dizaini hiyo imekula kwako ina maana ukifilisika tu anakukimbia,kupata mke aliye mwema hadi upate baraka za MUNGU na si vinginevyo,umemrukia mwanamke kisa ana shepu nzuri na mrembo then ndani ya wk unatangaza ndoa,yakikutokea puani unalalama na kuchukia wanawake wote kumbe ni wewe ndo uliingia kichwakichwa,ni vyema sisi vijana tutafute wanawake wa kuoa tukiwa ktk hali ngumu kimaisha ukisubiri hadi uanze kupata pesa basi utachapia kuoa,maana hakuna mwanamke anayemkataa mwanaume mwenye pesa,na hata wakikukataa wanawake mia,wa mia na moja atakubali kuishi na wewe ktk hali yako ngumu kimaisha,huwezi kukosa kabisa kama kweli umedhamiria kupata mke wa ukweli sisi tunarukia.
 
Mwanamke pekee atakayekuongoza kukutia moyo na hatimaye kufikia malengo ya kimaisha ni MAMA YAKO MZAZI PEKEE.........................

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Many women wants a 'ready-made' man. There is just only one who can put up with you no matter how you are, because she was there with you since you were a nobody... And thats only your mother!
 
'enyi wanaume wapendeni wake zenu, enyi wanawake waheshimuni waume zenu' ni maneno toka biblia, katika mahusiano ya binadamu, anaependa ni mwanaume, usijidanganye kuwa mnapendana! mwanamke awali tukiishi porini alihitaji ulinzi na kumletea chakula ulichowinda, wa leo analindwa na dola, akose ngono, mlo, nguo, nyumba nk kama utamwona!
 
Yawezekana

kama 99% wanawake ni janga kuoa kusingekuwepo! ila maendeleo ni juhudi ili kuyapata nafasi ya mwanamke ipo japo kwa wachache wao. 'never trust a woman even if she is naked' alihitimisha mwandishi james bond!
 
Back
Top Bottom