Wanatakiwa haraka wataaramu wa kufanya Risk Assessment

leonaldo

JF-Expert Member
Oct 26, 2014
2,583
3,181
Kampuni ya kimataifa ya ujenzi daraja la kwanza inahitaji wataaramu wa kufanya Risk Assessment kwenye miradi yake mitatu iliyoko mkoani mbeya kama ifuatavyo:-
1.Mbeya mjini
2.Wilaya ya tukuyu (kiwila)
3.Tunduma - Mbeya (songwe)

Sifa
Uwe umesajiriwa na OSHA kwa mujibu wa sheri kama mtaaramu wa kufanya kazi hiyo.
Ref, za miradi mingine uliyowahi kufanya ni sifa ya ziada
wasiliana nami inbox kwa maelezo ya ziada
 
Yaan kama wewe ndo afisa utumishi iyo kampuni naipa pole.

Kama ni kukosea,ingekua mara moja,lakin mara tatu! Kweli? Hapana.

Kiwira anaita Kiwila
Wataalam anaita Wataaram
Jina lake mwenyewe Leonardo wamelibadilisha Leonaldo

Duuuh
wataaramu?? Duh hata hiyo kazi hatutaki

Point of correction..ni WATAALAMU na sio WATAARAMU

Mshaambukizwa na yule bibi FaizaFoxy
 
Back
Top Bottom