Recent content by Bob v

  1. B

    JamiiForums Tanzania Wakuu msaada wenu kuhusu hii laptop yangu

    Daaah tatizo hilo nimelipata kwenye MacBook yangu nimeamua kuitupia kabatini tu
  2. B

    JamiiForums Tanzania NBA 2017/2018 Season Special Thread

    OCK ni balaaah combination ya Westbrook, Paul G and Camello n Hatari but Carvaliers n mziki mwingine Joh
  3. B

    JamiiForums Tanzania Elimu ya UDSM ni mbovu kiasi hiki!! Mtu ana PHD haelewi maana ya Economic Benefit.

    Haibisha ndio nn mkuu! Aibisha ndio kiswahiliii fasaha.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Aende chuo kipi kati ya UDSM na SUA

    SUA ndio kitu gani!? Wewe unaanzaje kusoma chuo kina jina la mtu! Sokoine sijui, Sebastian madudu gani Mara kairuki....Damn haven't you heard bout Harvard, Oxford All those r cities nenda Chuo kikuu UDSM usiende hicho.
  5. B

    JamiiForums Tanzania First years na ulimbukeni wa kusoma udsm

    Y hatn UD!? Ukipata nafasi ya kufanya kazi na graduate from vyuo mbalimbali ndio unajua kuwa. The home of interlectures ina maana gani!
  6. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii imekaaje kwa kinadada wenye mvuto

  7. B

    JamiiForums Tanzania Usiri huu ni kurudia kosa lilelile la usiri juu ya Bombadier

    Nchi ya wakurupukaji tusubiri kukurupuliwa na Acacia.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Barua ya diwani wa CHADEMA aliohamia CCM Arumeru aomba kurudi CHADEMA

    Hio barua vipi! SLP iko empty halafu nakala kwa haiwekwi chini huyo diwani wa wapi (Empty head)
  9. B

    JamiiForums Tanzania Jifunze hapa: Namna nilivyoanza mpaka nilipofikia. Unaweza kupata kitu

    Daaaaah sisi wengine Boom lilikuwa linaishia Maisha club na Bills.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Ishu ya bombardier haiwezi kubadilisha upepo

    Hio ndio maana Multipartism! Haya mambo Wapinzani wamekuwa wakipiga sana kelele bungeni lakini wakaishia kuitwa Tumbili. Lissu ameshauri mambo mengi sana lakini serikali sio sikivu.......#Dawa ya Deni kulipa... ukimwaga mboga tunatoboa sufuria.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Sarakasi na majigambo ya wahitimu wa UDSM

    UDSM-The home of interlectures.....nyie vyuo vyenu c mnadahili mpaka Div eleven.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Orodha ya watumishi wa serikali wasiokamilisha vyeti nchi nzima

    Ikumbukwe kwamba uhakiki wa watumishi wa wizara mbalimbali unategemea kukamilika tarh kumi so expect that list to chain up.
  13. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kafa kaoza kwangu lakini muathirika wa UKIMWI

    Daaaaaah hio imekaaa vibaya sana yan sana coz ukimkataaa n Kama unamnyanyapaa na ikimkubali pia mziki
  14. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dalili ya mwanamke anayekutaka kimapenzi ni ipi?

    Nyongeza atakuwa anakukonyeza konyeza na akikuona na Gashi mwingine anamaind.
Back
Top Bottom