Wakuu msaada wenu kuhusu hii laptop yangu

kiboboso

JF-Expert Member
Sep 17, 2013
9,182
12,286
Nina laptop yangu Hp jana ilizima gafla kuiwasha inawaka ila haitoi mwanga kwenye screen pia feni inazunguka kwa kasi sana. Msaada tatizo linaweza kuwa ni nini?
 
Nina laptop yangu Hp jana ilizima gafla kuiwasha inawaka ila haitoi mwanga kwenye screen pia feni inazunguka kwa kasi sana. Msaada tatizo linaweza kuwa ni nini?

Daaah tatizo hilo nimelipata kwenye MacBook yangu nimeamua kuitupia kabatini tu
 
KAMA FENI IMESHAANZA KWENDA KASI NA KUPATA MOTO....KAUZE TU KWA MTU UMSHIKISHE AU KWA FUNDI KAMA SPEA... GHARAMA ZAKE ZITAKUGHARIMU SANA..ILIWAHI KUNITOKEA NIKAIUZA HUKOO....

LAPTOP ZA HP SINA HABARI NAZO TENA HATA IWEJE
 
joto ndio tatizo lililoua computer yako, ss hapo moja ya components zilizo karibu na heat sink(chuma kinachopokea joto la processor na g.card kisha kulipeleka likapulizwe nje na feni) inaweza kua imekufa ambazo zinaweza kuwa ni
-processor
-graphics card
-io chip
-na chips zingine zilizo karibu na joto


cha msingi mpelekee fund aliyekaribu yako aifanyie uchunguzi kupata majibu sahihi,



Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom