mwamba c
JF-Expert Member
- Jan 2, 2017
- 690
- 2,366
Sio mti wenye matunda tu hupigwa mawe,hata mti wenye nyoka au ngedere pia hupigwa maweIla udsm inawaumiza vichwa sana! Au ndo mti wenye matunda ndo hupigwa mawe?
Sio mti wenye matunda tu hupigwa mawe,hata mti wenye nyoka au ngedere pia hupigwa maweIla udsm inawaumiza vichwa sana! Au ndo mti wenye matunda ndo hupigwa mawe?
Hapo ni vyote,, sasa mtu kama Banna utasemaje?Jaribu kuwa specific kwenye ngazi walizohitimu. Mfano, bachelor, masters, au PhD au vyote.
Kama ww unavyobebwa na huu motto wa JGHabari wakuu,
Nimekuwa nikifuatilia kwa muda mrefu wanafunzi walio hitimu UDSM hasa hasa miaka ya 2000 na kuendelea katika utendaji wao na majivuno yao mtaani na mitandaoni hasa hasa humu JF,
Nilichogundua ni kwamba wengi wao ni bomu (vilaza), kinachowabeba ni jina tu.
They are INCOMPETENT , hata walimu wao nao ni bomu.
Karibuni tupigane kwa hoja, nina mawe kibao nitayatoa.
Ni wa hapo hapo UDSM kabla hakijaharibika.Anyway mtoa mada nadhani una wivu wa kike tuu, vilaza popote pale hawakosekan.
Ingekuwa vema ungetaja chuo chako na hata wahitimu kadhaa wanaofanya vema katika Nyanja mbali mbali
Acha wivu wa kike
Wewe mwenyewe ni bomu, hukueleza kwenye uzi wako ni kwanini hao wahitimu ni bomu?? Ungekuwa sio bomu basi ungeeleza ubomu wa hao wana udsm!Habari wakuu,
Nimekuwa nikifuatilia kwa muda mrefu wanafunzi walio hitimu UDSM hasa hasa miaka ya 2000 na kuendelea katika utendaji wao na majivuno yao mtaani na mitandaoni hasa hasa humu JF,
Nilichogundua ni kwamba wengi wao ni bomu (vilaza), kinachowabeba ni jina tu.
They are INCOMPETENT , hata walimu wao nao ni bomu.
Karibuni tupigane kwa hoja, nina mawe kibao nitayatoa.
Mimi nilidhani utaniambia hako ka jamaa ni keupe kama cheupe Dawa au theruji (snow).Kuna kajamaa kamesoma Udsm kana mkwala Hatari ika kichwani keupe kama unga Wa sembe
Me najua kusoma na kuandika tu chuo nikafanye nini wakati mkuu wa nchi anaangalia utendaji wa kazi tuSio ufaulu tu!
hata ufanisi wetu kazini uko juu zaidi yenu wa vyuo vya kata
Haya ni matunda ya UDSM?![]()
Unataka kusema hata Bashite ni mti wenye matunda? Huwezi kuwa seriousIla udsm inawaumiza vichwa sana! Au ndo mti wenye matunda ndo hupigwa mawe?
Swali hili linadhihirisha wewe ni mtu wa Namna gani,kwanza wewe ni Mhitimu wa kozi gani huenda nabishana na mtu wa Bachelor of arts in.......
Ndio jinsi ya kuwatambua wabongo maana hao watu wa hizo kada wanaongoza kwa inferiority complex na huwa ni wabishi sana kwahiyo sipendi kubishana nao!Swali hili linadhihirisha wewe ni mtu wa Namna gani,
Hata elimu yako Haijakukomboa.