hulia
JF-Expert Member
- Mar 18, 2017
- 225
- 230
Bila kusahau 24Sisi ndo tuliozibikiri Theater one na two,baada ya kunji la 2000.Da,Udsm acha kabisa,,,mdigreee,academic bridge,rev.square,manzese na havard,,,dah hatari sana.
Bila kusahau 24Sisi ndo tuliozibikiri Theater one na two,baada ya kunji la 2000.Da,Udsm acha kabisa,,,mdigreee,academic bridge,rev.square,manzese na havard,,,dah hatari sana.
Habari za mchana waungwana,amechaguliwa course ya Bsc in Agricultural and natural resources economy and business ya UDSM na Agricultural economy and agribusiness ya SUA.anaweza kwenda chuo gani kutokana na ubora wa izo course na wigo mpana wa ajira baada ya kumaliza.ahsante.
Hehehe!Aende SUA kwa kigezo cha specialization ya chuo.
UDSM na agriculture wapi na wapi?
Ataipata degree but akisema ni ya udsm hatutaweza kumuelewa vizuri
YA SUA MOTOHehehe!
Naomba kuuliza mkuu,
Kati ya bachelor of science in food science and technology ya UDSM(4years course duration) na bachelor of science and technology ya SUA(3years course duration) ipi iko vizuri zaidi?
chuo cha taifa kwenye agriculture ww jamaa ndo kweli ubora wa chuo ni kozi usomayo ww kijana njooo sua mitaa ya MAZIMBU ufaidi kilimoMgogoro wa kinafsia...wengi wanaokosa nafasi ya kuja chuo kikuu cha taifa hukumbwa na hili tatizo.
udsm kuna agricultural economics siku hizi?
kweli nimezeeka asee
Kwa nini mkuu wakati ya SUA ina muda kidogo halafu inasadikika kuwa too general ilihali ya UDSM ni too specific na ni muda mwingi(4years)?YA SUA MOTO
Kilimo kipi unazungumzia? Wazazi wangu hawajawahi kutumia wataalamu wa kilimo kujipatia mazao ya kutosha na badala yake huwa wanasubiria mvua ya Mungu! Hata hivyo mliopo huko mtatutawakilisha....kikubwa mpunguze wivu kwa vijana wa chuo kikuu cha taifa.chuo cha taifa kwenye agriculture ww jamaa ndo kweli ubora wa chuo ni kozi usomayo ww kijana njooo sua mitaa ya MAZIMBU ufaidi kilimo
HAVARD UNIVERSITYSUA ndio kitu gani!? Wewe unaanzaje kusoma chuo kina jina la mtu! Sokoine sijui, Sebastian madudu gani Mara kairuki....Damn haven't you heard bout Harvard, Oxford All those r cities nenda Chuo kikuu UDSM usiende hicho.