Dalili ya mwanamke anayekutaka kimapenzi ni ipi?

Dalili ya mwanamke anayekutaka kimapenzi ni ipi?

mtoa mada ikiwa ni abv 18 basi kuna vitu haviko sawa pahala.
Si kwamba ana tatizo ni wengi hawajui dalili za mwanamke/mwanaume,labda amekosea kuuliza kusema mwanamke anayetaka kungonoka maybe angesema mwanamke anayekupenda
 
kuna manzi nimemtembelea kumsabahi sasa anaweka taarabu sauti hadi mwisho hatusikilizani kabisa yaani,
Umenifanya nimpaliwa Ubuyu [emoji27] [emoji27] [emoji27]
 
Mkuu nijibu kwanza hayo maswali nijue jinsi gani nianze kukusaidia
27 Na sikumbuki ila
Eeenhe umenikumbusha na hii yap ni kweli
Yeah happo mzuka Jimmmy ila kwa wengine ni kama kucheza mpira kwa macho hapo ni zaidi ya maradona ila akiingia uwanjani cheche....yakikutokea unaanza kujiuliza huyu vipi
 
Ila nashangaa mkuu kwanini hawataki kufunguka moja kwa moja?
Ndiyo asili yao hawawezi na kinachochangia haya ni mawazo tuliyonayo wengi kuwa mwanamke akikwambia ukweli anaonekana mhuni.
 
Ulikuwa unataka kusikiliza sauti ya mguno ama?
hapana mkuu tunapiga story yeye kaweka volume hadi mwisho na wimbo wenyewe alioweka ni ule unaimbwa "kwani hapa nilipo nina mashetani mamaa, nina mashetani wee"
 
Atakaye anzisha chuo cha utongozaji kwa jinsia zote atapiga sana hela
 
hapana mkuu tunapiga story yeye kaweka volume hadi mwisho na wimbo wenyewe alioweka ni ule unaimbwa "kwani hapa nilipo nina mashetani mamaa, nina mashetani wee"
Achana na mademu wa kizaramu mkuu
 
Mwanamke kama kakupenda dalili zake ni hizi

1kupenda kuwa karibu na wewe kupiga story muda mrefu
2Hupenda kukupa vijizawadi
3Anapozungumza na wewe hupenda kukutizama usoni na hutabasamu
4Huvaa nguo zenye kutega
 
Mwanamke ambaye anakutaka kimapenzi
1. Hucheka pasipo sababu akikuona
2. Huvaa nguo za kimitego uwapo karibu
3. Huanzisha mada zihusuzo mapenzi au huweza kuzungumzia mahusiano yake yaliyopita
4. Hukusifia mara kwa mara
5. Kukusogelea mwilini
6. Kukutania kuwa huwezi kumfikisha mkiwa sita kwa sita lengo utake kwenda kuonyesha unaweza
Okkkk, kumbe
 
Back
Top Bottom