Hii imekaaje kwa kinadada wenye mvuto

Hii imekaaje kwa kinadada wenye mvuto

Ndege mjanja hunasa kwenye tundu bovu..nikiwa advance nilitokea kumkubali sana msichana mmoja mrembo haswaa..(mixer muirak na mmanyara).
Mimi nikiwa form 6 yeye form 5 nikijaribu kumfuatilia mpaka nikafikia stage natumia gia ya kumfundisha physical geography ili nitumie hiyo opportunity but it was failed. Cha ajabu na kustaajabisha alikuja kuliwa na teacher wa field kutoka udom tena darasani kwenye meza. (Ikawa bonge la scandal but the good things it was well solved by head master.
Baada ya kufika chuo nikiwa second year naye akapangiwa hapo hapo bahati nzuri (God is not athuman) nikaendelea na procedures za kumfukuzia maana alikua anakaa in campus while I was stayed off campus.
Nikiwa kwenye hizo processes about 5-6 months nikasikia kapewa ujauzito na SHAROBARO waliyekua nae first year.
So sad.
Mkuu huna bahati
 
Kawaida tu iyo na ukiona ivyo ndyo ujue kuna washkaji wana machine zinafanya kazi
 
Akili za wanawake hao wazuri wengi ni shidaaaaa. Na ndyo maana wanakutana na shida. Wanawake bora wengi wapo normal kwa nje ila kichwani ni smart.

Hao warembo unaowasema wengi wao machino afu maisha ya bongo muv sana, ndyo mana kuangukia pua kwao ni kugusa
 
Hao huwa wanaponzwa na urembo wao na hvyo wanajikuta wanaangukia kwa wanaume wakora, huku wakiwakataa wanaume wenye nia ya dhati ya kuwaoa
 
Naunga mkono hoja wapo wengi sijui wamezalishwa na kina nani na kuwaacha,na je wameenda kuoa wanawake wengine hawa wanawaachia kina nani?
Sie hatuoi masister duu,hao ni mboga mbadala tu
 
Hao wazuri ni kwa ajili ya kumegwa tuu na show off za kitaa na viwanja.
 
Kujua haitokusaidia chochote,
Fanya mambo yako mengine ya muhimu.
 
Wadada wenye mvuto hawanaga tatizo lolote...

Inatokea tu, kidume kinavutiwa, kinamwaga cheche/pumba, mdada anajaa na kukaa sawa...

Baada ya muda, kidume kinajaza mimba alafu kinajishtukia (Kwa mvuto wa mdada haamini kama kweli yupo peke yake na yeye ndiyo aliempa mimba) anaamua kutimua mbio, mdada anaendelea na maisha yake bila shida...


cc: mahondaw
 
Most of African boys wanapenda kuoa wanawake wa kawaida wasio wazuri sana.
 
Back
Top Bottom