Recent content by blackstone

  1. B

    JamiiForums Tanzania Anatest mitambo

    Sent using Jamii Forums mobile app
  2. B

    JamiiForums Tanzania Diamond (fresh/mama) atakuwa kaguswa papaya na Alikiba (Kipusa/kito/chuma)

    Fresh original na remix ni mikwaju mikali sana,big up NGOSHA.Fresh!!!! Sent using Jamii Forums mobile app
  3. B

    JamiiForums Tanzania Riwaya au shairi la kiswahili

    Wakuu,wanabodi,wanajamvi,wanajf Lugha ya kiswahili ni tamu sana hasa pale unaposoma riwaya au mashairi matamu tena yenye ufundi toka kwa mafundi wa kiswahili. Upande wa kiingereza kuna riwaya nyingi na mashairi mengi yenye ufundi sana. Upande wa lugha yetu ya kiswahili cjawahi kusikia;riwaya au...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kwenu madomo ZZZEEEGGGEEE

    Ni udomo zege uliopitiliza,kutafuta dem au mchumba hapa JF baati mbaya hata mtu hujamuona.Ivi uko mtaani kwenu hakuna wanawake;hizi ndo hasara za kuangalia porn kila unapoangalia ndio zegee inatengenezwa. Enyi madomo Zege acheni uo mchezo mtakuja dondokea pua.Ni mtazamo tu[emoji125] [emoji125]...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume wa kunioa

    njoo ubungo external
  6. B

    JamiiForums Tanzania Wimbo mpya wa Darassa CMG umedhihirisha kuwa ile ngoma ya Muziki alibahatisha

    unacheka na vitu havichekeshii.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Wabaya wa 'chorus' bongo

    Harmorapa
  8. B

    JamiiForums Tanzania "Lionel Messi is a super human"(commentator wa jana wa el classico!)

  9. B

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania na intaneti spidi ya kobe

    Vodacom kwa sasa wamekuwa na intaneti yenye spidi ndogo kuliko mitandao yote Tanzania..Wakuu atakaeuona ujumbe huu awafikishie wazee hawa wa hisa.
  10. B

    JamiiForums Tanzania EPL - Ligi bora zaidi duniani ona takwimu zake ukiilinganisha na la liga

    vp Vodacom Premier League..
  11. B

    JamiiForums Tanzania Mahojiano ya mkurugenzi Clouds Media na Falsafa ya panya

    wazee pigeni kazi basi Tanzania ya viwanda kumbukeni.hii movie si ishaisha au ni season preview
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ali Kiba hataki bifu lake na Diamond liishe?

    Kiba hawezi kusurvive katika game bila kuwa na bifu na mond hawezi kutoa nyimbo kali bila kiki.mond kaona kuwepo na bifu hakumsaidii kaamua aipotezee zaidi anamnufaisha kiba tu,Natamani bifu hii iishe ili tuwapime kwenye kazi zao,nani katoa mkwaju mkali nani ni KIKI master.
  13. B

    JamiiForums Tanzania EFM yapewa ruksa ya kuruka mikoa 10 ya Tanzania, Nape amsifu Majay. Hofu yatanda Clouds Media Group

    ni vema kuwa na vituo vingi vya redio vinavyosikika mikoani but we need creativity tumechoka kusikiliza vipindi vilevile,vilivyobadilishwa majina tu na watanzania kusupport tunaua creativity.
  14. B

    JamiiForums Tanzania Kusaga aja na stesheni mpya ya redio

    seba the worrior alikuwa na the fix best music selection,best news updates old choice fm ilikuwa fire.i miss the old choice fm
Back
Top Bottom