Riwaya au shairi la kiswahili

blackstone

Senior Member
Aug 11, 2015
147
128
Wakuu,wanabodi,wanajamvi,wanajf
Lugha ya kiswahili ni tamu sana hasa pale unaposoma riwaya au mashairi matamu tena yenye ufundi toka kwa mafundi wa kiswahili.
Upande wa kiingereza kuna riwaya nyingi na mashairi mengi yenye ufundi sana.
Upande wa lugha yetu ya kiswahili cjawahi kusikia;riwaya au shairi lolote la kiswahili.
Wadau wenzangu wa lugha tutupie riwaya zilizopo mtandaoni tukuze lugha yetu.
Uwanja ni wetu sasa
 
Eti nini? Hujawahi kusikia riwaya au shairi la kiswahili?.sitaki kushawishi akili yangu iamin unachosema.kama umepita sekondari na hujakutana na riwaya na mashairi yoyote kuna tatizo mahali maana ........
 
Wakuu,wanabodi,wanajamvi,wanajf
Lugha ya kiswahili ni tamu sana hasa pale unaposoma riwaya au mashairi matamu tena yenye ufundi toka kwa mafundi wa kiswahili.
Upande wa kiingereza kuna riwaya nyingi na mashairi mengi yenye ufundi sana.
Upande wa lugha yetu ya kiswahili cjawahi kusikia;riwaya au shairi lolote la kiswahili.
Wadau wenzangu wa lugha tutupie riwaya zilizopo mtandaoni tukuze lugha yetu.
Uwanja ni wetu sasa




Tafuta vitabu vya riwaya za Kiswahili katika makitaba popote pale ulipo utazipata na sio mtandaoni, mtandaoni baadhi ya riwaya ni za kununua, Fuatana na huo mtiririko wa riwaya za kiswahili ukurahisishie kuzipata riwaya unazotaka;

MWANDISHI......


JINA LA KITABU.....

MCHAPISHAJI.......

MWAKA.......

DHAMIRA.......

1

A Bedinko

Mwasi

H.E.B Nairobi

1972

Mgogoro Kati ya Ukale na Usasa

2

A. M kateti

Kiwiliwili kilichopotea

Ndanda Mission Press

1994

Ulevi, Uvivu, Mapenzi, Unyumba Na Mauwaji ya Kinyama (Maadili Katika Jamii)

3 A. R. Mhozi

Pendo la Kifo

T.P.H, DSM

1980

Ukosefu wa uaminifu na mapenzi katika ndoa

4

Abdallah L. Ajjm

Habari za Wakirindi




5

Abdallah M.S

Mzimu wa Watu wa Kale

E.A.L Nairobi

1958

Athari ya dhuruma na upelelezi

6

Abdallah M.S

Kisiwa cha Giningi

Evans Brother Nairobi

1958

Uongozi Mbaya na ushikina

7

Abdallah M.S

Dunia Kuna Watu

E. A. P .H. Nairobi

1973

Maadili na maono kwa binadamu

8

Abdallah M.S

Siri ya Sifuri

E. A. P .H. Nairobi

1974

Upelelezi

9

Abdallah M.S

Mwana wa Yungi Hulewa

E. A. P .H. Nairobi

1976

Mila na tamaduni mbalimbali za kitanzania

10

Abdallah M.S

Kosa la Bwana Msa

Africana Publishers

1984

Upelelezi

11

Abdul Baka

Salome

T. P.H Dsm

1972

Nafasi ya mwanamke katika jamii

12

Ahando V

Utaniua

O. U P

1973

Hekima

13

Akwisomba B

Jero si Kitu

T.P.H, DSM

1972

Ujenzi wa jamii na maendeleo

14

Alli Hassan Njama

Nazikumbuka Ndoto

Jomokenyata Foundation Nairobi

2004

Umuhimu wa elimu katika jamii

15

Amina H.N

Chuki ya Ndoa

Benedictin Publication

1981

Unyanyasaji dhidi ya wanawake

16

Bairu. K. Atama

Sokoni Kariakoo

Tam tam Book Publication

2004

Matatizo ya mjini kwa wageni

17

Banzi Alex

Titi la Mkwe

T.P.H, DSM

1972

Mapenzi, imani za ushirikina na uchawi

( falsafa ya maisha ya mwafrika)



Barisidya N.M

Shida

Foundation Nairobi

1975

Ujenzi wa jamii mpya

18

Buyu, John

Mtu Geni

longman

1971

Ujenzi wa jamii mpya

19

Chachage C. L

Kivuli

BCI- Publishers

1981

Ugumu wa Maisha na Mapenzi

20

Chachage C. L

Sudi ya Yohana

DUP- DSM

1981

Ujenzi wa jamii mpya

21

Chachage C. L

Almas za Bandia

DUP- DSM

1991

Unyonyaji dhidi ya nchi changa

22

Charle M.L

Adha ya Kimwi

TMP Book Department

2001

Matatizo yatokanayo na ukimwi

23

Chiduo, M

Mikononi mwa Maui

EAP

1978

Maisha na Mwisho wake

24

Chime M. w.

Gongo la Umma

Black Star Agencies, DSM

1980

Hrakati za ukombozi za wandima dhidi ya wamboya

25

Chiume,M.K

Mbutolwe Mwana wa Umma

Longman

1973

Ujenzi wa Jamii Mpya

26

Chuma,K.

Fadhiri msili wnaugua

TPH- DSM

1971

Mvutano baina ya mila za kiislam tamaduni zingine

27

Eddie, Ganzel

Faili Maalum

Tamasha Publishers

1978

Upelelezi

28

Eddie, Ganzel

Kitanzi

Utamaduni Publishers

1984

Kisasi

29

Eddie, Ganzel

Kijasho Chembamba

Tamasha Publishers

1980

Ulinzi na Uhalifu

30

Farsy, M. S

Kurwa na Doto

EAPH

1978

Mila na Destri za Wakazi wa Zanzibar

31

Hambwe, J

Maisha Kitendawili

Jomo Kenyatta Foundation

2000

Ugumu wa Maisha. Anasa na Umuhimu wa kazi katika Maisha

32

Hammie, Rajabu

Roho Mkpnpni

Busara Publication


1984

Upelelezi

33

Hunga,E

Cha moyoni Mwako Kisetiri

EALB

1974

Mapenzi Katika Ndoa

34

Isaya, P

Nyumabni kwa Mchawi

NMP

1961

Imani za jadi na Athari za Utamaduni

35

J. Kitsao

Bibi Arusi

OUP

1980

Mila na Desturi

36

Joachim, Gatahwa

Mdundiko wa Maisha

Benedictine Publication

1990

Migongano Katika Maisha

37

John, M. S

Kivumbi Uwanjani

Tras Afica

1978

Mapenzi

38

Kageuka, Frolika

Mbio za Jasusi

Upendo Publishers

1992

Ujasusi na Upelelezi

39

Kapombe, Y.N

Usiku wa Mbalamwezi

TPH- DSM

1979

Harakati za Ukombozi

40

Kasam, K. M

Mpango

International Publishers Agencies Ltd

1982

Harakati za Ukombozi

41

Katalambula, F. H

Simu ya Kifo

EALB

1965

Upelelezi

42

Katalambula. F. H

Pili Pilipili

EAP

1977

Tama na Mapenzi

43

Katalambula. F. H

Buriani

TPH- DSM

1972

Masaibu ya Maisha

44

Kayamba, Martine

Tulivyoona na Tulivyofanyiwa na Uingereza

EALB- Nairobi

1934

Uonevu na Unyanyasaji wa Kitaifa na Kitabaka

45

Kezilahabi, E.

Rosa Mistia

EALB

1971

Mgongano wa Mila na Athari za Malezi

46

Kezilahabi, E.

Kichwa Maji

EAPH

1974

Falsafa ya Maisha

47

Kezilahabi, E.

Dunia Uwanja wa Fujo

EAP- Arsha

1975

Falsafa ya Maisha

48

Kezilahabi, E.

Gamba la Nyoka

EAP

1979

Falsafa ya Maisha

49

Kezilahabi, E.

Nagona

Education Publication Centre

1987

Falsafa na Ukweli kuhusu Maisha

50

Kezilahabi, E.

Mzingile

DUP

1996

Falsafa na Maisha

51

Kiango, S.D

Jeraha la Moyo

HEB

1974

Mapenzi na Maadili katika Jami

52

Kibao, S. A

Matatu ya Thamani

Heinemann Education Books

1975

Dhuruma, Ufukara na Utajiri

53

Kiimbila, J. K.

Ubeberu Utashindwa

TUKI-DSM

1971

Harakati ya Ukombozi katika Nchi ya Msubiji

54

Kiimbila, J. K.

Lila na Fila

OUP


1967

Umuhimu wa umoja katika Jamii

55

Kimwaga, H. A.

Je ni Kisasi?

Associated Graphics Arts Publication

1982

Dhamana ya Mapenzi na Ndoa

56

Kirumbi, S. P

Nataka Iwe Siri

TUKI-DSM

1974

Ukoloni

57

Kitereza, Anicet

Bwana Myombokere na Bibi Bibi Bugonoka

TPH- DSM

1980

Mila na Desturi, Mpaenzi na Unyumba

58

Komanya, Anthony

Tabu

TPH

1992

Matatizo katika maisha

59

Komba, S. M

Pete

TUKI-DSM

1978

Dini na Mapenzi

60

Komba, S. M

Mchakamchaka wa Maisha

Peramiho Printing Press

1978

Harakati za Maisha na Umoja

61

Korieth, P.M

Hadith ya Vita vya Majimaji

EAPH

1971

Ukombozi

62

Korieth. P.M

Kibuli bila ya Msalaba

EAPH

1971

Ukombozi na Imani ya dini

63

Lema, E

Mwendo

Diamond Publishers

1980

Malezi

64

Lihamba, Amandina

Wimbo wa Sokomoko

TPH

1990

Malezi ya vijana na Uwajibikaji

65

Liwenga, G

Nyota ya Huzuni

TPH

1981

Mapenzi, unyanyasaji na Uwajibikaji

66

Liyoka, H. M

Dunia Imeharibika

Longman

1970

Uozo Duniani

67

Masoza,C.N

Zaka la damu

Dar-es-salaam Print Park

1972

Mapenduzi ya kweli Zanzibar

68

Mathius Mynapala

Mlina asali na wenzake wawili

EALB

1961

Maadili

69

Mathius mnyapala

Kisa cha bahati na ndugu zake

Ndanda mission press

1967

Maadili

70

Mben,I,C

Ujamaa siuwezi

BSA

1975

Umuhimu wa ujamaa na umoja katika jamii

71

Mbogo.E

Watoto wa mama ntilie

HEKO PABLISHER

2002

Umasikini elimu nafasi ya mwanamke ktk jamii

72

Mbotela JAMES

UHURU WA WATUMWA

Sheldon press London

1934

Ukombozi na wema wa waingereza kwa watumwa

73

Mbwela,H,M

Donda ndugu

TPH-DSM

1973

Matatizo ya maisha

74

Mbwelwa,H,M

Mtu aliyefufuka

TPH-DSM

1972

Ushirikina

75

Mdoe,C

Kilemba cha ukoka

Kiuta-DSM

1984

Kejeri na dhihaka

76

Mfwangavo,D,S

Zainabu ghorofani

Ndanda mission

1971

Bidii katika kaz

77

Mhina,G

Mtu ni utu

TPH-DSM

1971

Unanyasaji na maadili

78

Mkabarah,J

Maisha ya salum Abdallah

Tuki DSM

1975

Historiya ya maisha ya salum Abdalah

79

Mkangi K,G

Mafuta

HEB

1984

Maovu na matabaka

80

Mkangi K,G

Ukiwa

TPH-DSM

1975

Rushwa na mapenzi

81

Mkangi,K,G

Ukiwa

TPH-DSM

1975

Rushwa na mapenzi

82

Mkufya,W,E

Zirael nazirani

Hekima publishers DSM

1999

Mgogoro wa dini

83

Mkufya,W.E

Ua la furaha

TPH

2004

Starehe na mapenzi

84

Mloka,C

Mjini taabu

Benedictine pablication

1985

Matabaka,Rushwa na unyanyasaji

85

Mlokozi, M. M

Moto wa Mianzi

ECOL- Publication

1996

Madhara yaVitaBarani Africa

86

Mlokozi, M. M

Ngoma ya Mianzi

TPH- DSM

1991

Uongozi, Mapenzi, siasa na Ndoa

87

Mlokozi, M. M

Barua za Shaaban Robert

TUKI-DSM

2000

Maonyo na Maadili

88

Mlokozi, M. M

Ngome ya Mianzi




89

Mohamed, S. Mohamed

Nyota ya Rehema

UOP

1978

Uongozi Mbaya, Uwazi na Ukweli

90

Mohamed, S. Mohamed

Kicheko cha Ushindi

Shungwaya Publishers Ltd

1978

Matabaka na Utamaduni

91

Mohamed, S. Mohamed

Kiu

EAPH- Nairobi

1972

Mirathi, Mapenzi na Unyumba

92

Mohamed, S. Mohamed

Utengano

Longman- Nairobi

1980

Mvutano baina ya Nguvu za Kiasili na Jamii

93

Mohamed, S. Mohamed

Dunia Mti Mkavu

Longman-Nairobi

1980

Mvutano baina ya Nguvu za Kiasili na Jamii

94

Mohamed, S. Mohamed

Kina cha Maisha

Longman

1984

Falsafa ya Maisha

95

Mohamed, S. Mohamed

Kiza katika Nuru

OUP- Nairobi

1988

Mapambano ya Mila na Itikadi za Kijamii

96

Mohamed, S. Mohamed

Tata za Asumini

Longman

1990

Ukiukwaji wa Haki za Binadamu, Fikra na Hisia

97

Mohamed, S. Mohamed

Babu Alipofufuka

J.K Foundation

2001

Utawala wa Kilimwengu na Athari za Maendeleo

98

Mohamed, S. Mohamed

Asali Chungu

Shungwaya Publishers

1978

Mapenzi

99

Mohammed,M,S

Mchomo wa kisu

EAP

1970

Kiu ya maisha na kero ktk jamii

100

Mohammed,M.S

Kulwa na Doto

EAPH

1960

Thamani ya utamaduni ktk jamii mila na desturi

101

Mommed.M.S

Mbojo simba mtoto

EALB

1977

Upelelezi wa simba mla watu

102

Msewa.O

Kifo cha ugenini

TPH

1977

Mauaji

103

Msokile, M.

Usiku utapokeisha

Popular publication Ltd

1990

Maisha na mzunguko wake,Dhulma athari yake

104

Msokile, M.

Nitakuja kwa siri

DUP

1981

Mapenzi

105

Msokile, M.

Dhani ya ukubwa

DUP

1979

Mapambano yakitabaka

106

Msokile, M.

Dhihaka ya mume

Meza pablication

1992

Unjanjasaji Dhidi Ya Wanawake

107

Mtendamema,G.W

Utotole

LOGMAN

1974

Imani za uchawi na kutunza tunu za maisha

108

Mtobwa, B. R.

Tutarudi na roho zetu

Heko purblishers DSM

1987

Upelelezi na dhuluma

109

Mtobwa, B. R.

Dimbwi la damu

APT

1984

Mauaji na uharifu

110

Mtobwa, B. R.

Harakati za Joram njuma ya pazia

Heko publishers

2004

Mauaji na upelelezi

111

Mtobwa, B. R.

Pesa zako zinanuka


2005

Unafiki na ukatili

112

Mtobwa, B. R.

Dar es salaam usiku (Malaika,Shetani)


2004

Uvumilivu

113

Mung’ong’o, C

Mirathi ya hatari

Education publishers and distribution

1977

Ushirikiano mila na desturi

114

Mung’ong’o, C

Njozi iliyopotea

TPH

1980

Usawa wa binadam dhulma na unjanjasaji

115

Musiba, A. E

Njama

Pupular publication Ltd

1989

Uharifu na upelelezi

116

Musiba, A. E.

Zawadi ya ushindi


1987

Ukombozi na mapenzi

117

Musiba, A. E.

Hofu

Popular publication Lltd

1997

Ukombozi na upelelezi

118

Musiba, A. E.

Kikosi cha kisasa

Popular publication Ltd

1989

Uharifu na upelelezi

119

Mvungi, M

lwidiko

TPH-DSM

1976

Uwajibikaji Haki na mapenzi

120

Mvungi, T

Hana hatia


1975

Maadili na Haki

121

Mwakyembe,H

Pepo ya mabwege

DUP

1974

Uchumi na nafasi ya mwanamke ktk jamii

122

Mwanga, Z.

Kiu ya Haki

DUP

199

Haki ukweli na ukombozi

123

Mwanga, Z.

Hiba ya Wivu

OUP

1974

Fina na athari za wivu ktk maisha

124

Singija D.

Pendo la kifo

TPH

1972

Kutoaminiana,imani za uchawi na ushirikina

125

Senkoro ,F,E

Adila

Benedictine publication

2002

UJENZI WA JAMII MPYA MAADILI MAPENZI NA ELIMU

126

Senkoro ,F,E

Mzalendo

Shinywaya publisher Nairobi

1977

Harakati na mbinu za ukombozi

127

Semela Fedelis

Maisha ya nuksi

Longman

1976

Pupa ya mafanikio kwa vijana na ugumu wa maisha





128

Shija SF

BALAA LA USHANGINGI

Ndanda misision press

1992

Ansa za mapenzi

129

Omolo L.O

UHARIFU HAULIPI

LONGMAN

1971

MAUAJI

130

Omolo L.O

MTAKA YOTE KWA PUPA HUKOSA YOTE

LONGMAN

1973

TAMAA YA MALI NA ATHARI ZAKE

131

Omolo L.O

MUELEVU HAJINYOI

HEKIMA PUBLISHERS

1971

ULEVI MWINGI HAUFAI

132

RUHUMBIKA,G

Milad bubu ya wazalendo

TPH

1992

HUJUMA NA UONGOZI WENYE URASIMU

133

ROBERT.S

Kusadikika

Nelson NAIROBI

1951

ELIMU NA UONGOZI MBAYA

134

ROBERT.S

Adili na nduguze

Macmillan

1952

UADILIFU WIVU NA TAMAA

135

ROBERT.S

Maisha yangu na baada miaka hamsini

Nelson NAIROBI

1966

MAISHA NA MAPENZI

136

ROBERT.S

Siku ya watenzi wote

NELSON NAIROBI

1968

UKOMBOZI

137

ROBERT.S

Utu bora mkulima

NELSON NAIROBI


1968

UMUHIMU WA KILIMO

138

ROBERT.S

Wasifu wa siti bint9Saad

NELSON NAIROBI

1965

MALEZI UVUMILIVU UJASILI NA ELIMU

139

ROBERT.S

Maisha mapya

HIDARA YA UCHAPAJI RADUGA MASCOW

1987

MAWAIDHA NA MAONYO MBALIMBALI

140

ROBERT.S

Kufikirika

MKUKI NA NYOTA PUBLISHERS DSM

1991

HABARI YA ,MAISHA YA KIBWENYENYE NA KIFALME,JUHUDI ZA UKOMBOZI

141

RUTAYISIGWA,J,

NGUMI UKUTANI

LONGMAN

1979

MAPENZI,MALEZI NA FAIDA ZA UVUMILIVU NA SUBIRA KTK MAISHA

142

RASHID,H.

ROHO MKONONI

BUSARA PUBLICATION

1984

UONGOZI MBAYA,UJASIRI NA UWAJIBIKAJI

143

SAYARI ,A.J

HARUSI

DUP

1993

UKALE NA USASA MAPENZI NA NDOA

144

SAID. S

UKOMBOZI

EAST AFRICAN PUBLICATION

1979

MAPAMBANO

145

SEHZA M

MWAKA KTK MINYORORO


1921

DHULMA NA UONGOZI

146

SEME,W

NJOZI ZA USIKU

LONGMAN

1973

UKASUKU

147

SALEHE S

DIRA

OUP

1976

HAKI NA USAWA

148

SHAFII ADAM,S

KULI

TPH

1979

UNYONYAJI N DHULMA YA UKOLONI TANZANIA

149

MHIMBALI RENATUS

VISA VYA YATIMA CHIBIBI

HEKO PUBLISHERS

2003

HEKIMA.UJASIRI.NA VIPAJI VYA WATOTO VILIVYOFICHIKA

150

MNYAKA ONGE

KIMBIA” HELENA KIMBIA

HEKO PUBLISHERS

2005

MATATIZO YA VITA VYO WENYEWE KWA WENYEWE AFRIKA YA KATI

151

MUSHI,J,S

BAADA YA DHIKI FARAJA

TPH UDSM

1969

HARAKATI ZA KUONMDOA MATABAKA UKOMBOZI

152

MUSHI,J,S

TUHUMA ZA UCHAWI

BPNP

1986

IMANI POTOFU


153

NGOMOI.J

NDOTO YA NDALIA

TPH

1976

UJENZI WA JAMII MPYA

154

NKWELA ,F

MAZISHI YA BABA ANARADHI

EALB

1967

MILA NA DESTURI

155

NURU,M.S

NDOA YA MZIMU

EALB

1974

USHIRIKINA

156

157

NG’AMBO.A.H

CHUKI YA NDOA

BENEDICTINE PUBLIUCATION

1981

UGANDAMIZAJI NA MAPENZI

158

NDIMBALE,CHARLES

FIMBO YA ULIMWENGU

HED

1974

MATATIZO KTK JAMII NA UJASIRI


159

NYASURU GODFREY

LANA YA PANDU

ELB

1974

MAADILI

160

NCHIMBI BR

MAPENZI YA DAWA

TPH

1974

MAPENZI YA KWELI NA YADAWA

161

NSHIKU,T

FIMBO YA MNYONGE

TPH

1978

MIVUTANO YA KITABAKA BAINA YA MATABAKA YA WATAWALIWA NA WATAWALA

161






162

SHAFI ADAM SHAFI

KASRI YA MWINYI FUNDI

TPH

1`978

Unyonyaji na Mapinduzi

163

SHAFI ADM,S.

VUTAN’KUVUTE

MKUKI NA NYOTA PUBLISHERS

1999

Ukombozi wa Kisiasa Kiutamaduni na Dhana potofu.

164

ERICK,J.SHIGONGO

RAIS ANAMPENDA MKE WANGU

GLOBA PUBLISHRES AND GENERAL ENTERPRESES LTD

2003

Mapenzi na Kisasi

165

ERICK,J.SHIGONGO

SILI ILIYOTESA MOYO WNGU

GLOBA PUBLISHRES AND GENERAL ENTERPRESES LTD

2003

Usaliti katika Mapenzi,Uhalifu,Ukatili na Upelelezi

166

SEMZABA,E

FUNGE BUGEBUGE

DUP

1999

Athari za Umri ktika Maisha

167

SIMBAMWENE,J,M

KWA SABABU YAKO

LONGMAN

1972

Ubadhilifu wa Mali za Umma

168

SIMBAMWENE,J,M

KIVUMBI UWANJANI

TRANS AFRICA

1978

Mapenzi

169

SIMBAMWENE,J,M

RISASI YA MWISHO

JOMMOSI

1981

Upelelezi

170

SIMBAMWENE,J,M

KWELI UNANIPENDA?

TRANS AFRICA

1978

Mapenzi n Ndoa

171

SIMBAMWENE,J,M

KWA SABABU YA PESA

LONGMAN

1972

Tamaa ya Pesa,Uhalifu na Ujambazi

172

SIMBAMWENE,J,M

MAPENZI YA PESA

NMP

1976

Mapenzi ya Fedha Hayafai

173

SOMBA.J,N

KUISHI KWINGI NI KUONA MENGI

EAPH

1973

Utii Maadili mema Hekima na Malezi bora

174

SOMBA.J,N

ALIPAND UPEPO AKAVUNA TUFANI

Kiuta Ltd

1969

Usaliti katika maisha

175

SANGIJA ,D

BADO MMOJA

NDANDA MISSION PRESS

1975

UPELEZI DHULMA NA MAUAJI

176

THONYA,L.M

ULIMWENGU WA NDOTO

BSA

1978

HISTORIYA YA ,MAISHA YA MWANADAMU ULIMWENGUNI

177

TUNGANEA,W.X

…ZA UMMA TAMU LAKINI

TANZANI BOOK SELLERS COMPANY LTD

1984

HUJUMA DHIDI YA RASILIMALI ZA UMMA ZIFANYWAZO NA VIONGOZI



WHITELEY,W

MAISHA YA HEMED BIN MOHAMMED EL MUJEBI YAANI(GIPPUTIPP)

EALB

1975

MAISHA Y TIPP TIPP NA BIASHARA YA UTUMWA NA PEMBE ZA NDOVU TANZANIA-CONGO
 
Back
Top Bottom