EPL - Ligi bora zaidi duniani ona takwimu zake ukiilinganisha na la liga

Data nimeziona hapo

Kwa maana ya quality ya wachezaji, basi la liga ina wachezaji wenye quality nzuri kama kina Ronaldo, Neymar na Suarez

Lakini kwa maana ya burudani, ushindani, sarakasi na vituko vya hapa na pale basi EPL.
Kwa hiyo EPL is the best kwani it is very exciting
 
haaa
ili ligi iwe bora yahitaji team nyingi ziwe na ubora na ushindani mkubwa, ila la liga inaonyesha kuna team nyingi dhaifu na zisizo na ubora mkubwa ukilinganisha na Epl ambapo team karibu zote zipo katika hali nzuri
 
Naweza kusema La liga kuna timu kadhaa boraa kabsaa. Lakin kuna gap kubwa la ubora
Wakat EPL team za kawaida zona kosa gap, so ligi inakuwa na unpredictability, lakin spain bingwa asilimia 98 anakuwa ni Barca au R.Madrid
 
Tu
Vp Ukikutana Na Timu Za Laliga Unawashnda?
Tunaizungumzia logo nzima na sio team kubwa chache
La Liga Kuna team hazitoi ushindani
Logo Bora huundwa na team Bora
Angalia thamani ya ujumla ya team zote katika kila ligi
Utakuta EPL imeizidi sana la liga
 
Siku utuletee sababu kwa nini vilabu vya EPL vina pesa nyingi kuliko vilabu vya uhispania. Toauti na ile ya haki za TV.
 
haaa
ili ligi iwe bora yahitaji team nyingi ziwe na ubora na ushindani mkubwa, ila la liga inaonyesha kuna team nyingi dhaifu na zisizo na ubora mkubwa ukilinganisha na Epl ambapo team karibu zote zipo katika hali nzuri
Hizo team za EPL zileteni UEFA au Europa uone zinavyombwela.....alafu timu ya TaifA ya england ndo ushuzi wa kutupa.
 
Timu kama Valencia, Sevilla na nyingine zikipata matajiri kama ilivyo kwa man city. Soka la Uhispania litakua kubwa sana. Zamani kabla pesa hazijaingilia sana soka. Valencia ilileta upinzani mkubwa sana Spain.
 
Hizo team za EPL zileteni UEFA au Europa uone zinavyombwela.....alafu timu ya TaifA ya england ndo ushuzi wa kutupa.
Tu ya taofa hai reflect ubora wa ligi anko.
Na pia timu 3 kushindania UCL hai prove ndio best league
 
Tu ya taofa hai reflect ubora wa ligi anko.
Na pia timu 3 kushindania UCL hai prove ndio best league
Mimi nadhani ubora wa ligi inatakiwa uangalie vitu vingi sana, Thamani ya vilabu ikiwepo, idadi ya vikombe kimataifa, ushindani wake na vilabu vya ligi za TaifA jingine, ushindani wa tuzo za kimataifa kwa individual players nk nk
 
haaa
ili ligi iwe bora yahitaji team nyingi ziwe na ubora na ushindani mkubwa, ila la liga inaonyesha kuna team nyingi dhaifu na zisizo na ubora mkubwa ukilinganisha na Epl ambapo team karibu zote zipo katika hali nzuri
Epl team nyingi (zote) zina viwango vya chini vinavyo fanana wanatumia nguvu nyingi kuliko akiri!!!
La liga kuna team 3-4 zenye viwango vya juu sana, the rest ni sawa na epl team
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Wana vilabu bora hata ligi ya EPL ni bora na ndiyo ligi yenye upinzani na imekuwa adim kuonekana kwenye local Chanel zetu, ila wana Tim ya taifa mbovu hujapata kuona

Yaana naamini hata ikipangwa na Kilimanjaro star au Zanzibar heroes itafungwa,

Wanachokimudu ni fitina na wanajua kujitangaza na kupenda vya kwao,...

Sasa angalia Hispania Tim ni bora japo ligi yao si bora...
 
La liga kwa upande wa burudani imeiacha mbali EPL .Angalia gemu zao uone kwa mfano celta vs malaga pasi fupifupi na njonjo kibao utaziona lakini angalia gemu ya stoke city vs everton gemu bovu hamna burudan yoyote . Chukua timu yeyote kubwa epl icheze ata na real betis uone kua la liga si ya mchezo kifupi la liga ina timu tatu zenye uwezo wa juu sana na epl timu zote uwezo ni mdogo na unafanana hii inapelekea bingwa kutotabirika.
 
Ni rahisi sana kutabiri matokeo ya mechi za La liga kuliko EPL.

Historia nyingi za soka zimeandikwa EPL.

La liga ina nguvu ya pesa zaidi na si ubora huo unaohubiriwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom