Kusaga aja na stesheni mpya ya redio

Acha tu. Hitlist walikua wananipa updates za movies,na ngoma zao za mbele zote zilikua brand new. Abby na Jimmy Kabwe walikua wananikonga nyoyo sana. Siku nilipofall in love ilikua siku Vee Money kamuhoji AliKiba,alafu wakawa wanaimba live. I could pay for Hitlist to be back, Vee Money na Joey I really miss those guys.
Vee na htlist ilikuwa boomb.....nakumbuks drank ya Kendrick inatoka tu nikaiskis kwanza kwenye hitlist dash noma sanaaa wamrudishe vee na hitlist mi nitamlipa mshahara
 
seba the worrior alikuwa na the fix best music selection,best news updates old choice fm ilikuwa fire.i miss the old choice fm
 
Maana ndio biashara iliyo mtajirisha, na anaielewa vizuri... Waliboa walivyobadilisha choice fm to a Swahili channel..
Simply kuvuta wasikilizaji watz wengi hawajui English afu redio ipo mkoa mmja si maajabu
 
Back
Top Bottom