Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,605
Of coz nyimbo zake zote ni nzuriAlikuwa Captain wa bendi.
Of coz nyimbo zake zote ni nzuriAlikuwa Captain wa bendi.
kafanyajeHuyo Number 2 Mmmh
alikiba anaongoza,then g nako,belle9,mr blueHakuna mkali wa chorus bongo kama gnako
Number 2Huyo Number 2 Mmmh
Hajui kitukafanyaje
Alikuw captain jeshiniHilo jina alilipataje LA captain
Sofia Mwaiposa
Mkuu umemsahau dully a.k.a misifaWakuu kwa mimi hawa ndio wabaya wa chorus bongo kuanzia wa kwanza mpaka wa 5
1. Sir Nature - msitu wa vina
2. Belle 9
3. Chege Chigunda
4. TID
5. Q Chilla/ Q Chief