Natafuta mume wa kunioa

Tuache dharau kwa wenzetu wewe kama mambo yako vizuri si ukae kimya kuliko kumzodoe mwenzio anapo weka tangazo lake hii ndio maana ya jukwaa hili la mahusiono na wengine wengi wamepata wenzi wao hapa kwa hiyo tusifanye hivyo
 
Habari zenu wana JF,

Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 24, natafuta mwanaume wa kunioa ambaye yuko serious tunaweza kuchat PM for more details.

Wasifu wangu kwa ufupi mimi nina umri wa miaka 24, graduate wa chuo kikuu, sina ajira na pia sina mtoto na wala sijawahi kuzaa.

Mwanaume awe hajazidi 45 years, asiwe na mke sijajiandaa kuwa second wife.

Kwa watakao kosoa na kukejeli naomba wajue kuwa mapenzi/mpenzi hana sehemu maalum ya kupatikana.

Thanks.
Miaka 24?, kuwa mpole na uvute subra. Muda bado upo.
 
Ukiona mdada hauziki huko duniani,basi ujue ni nung'ayembe .samahani lakini
Mtaani Ni wapi Na humu Ni wapi.Acha kuishi kizamani.Natamani JF uongozi mnipe uongozi bila Hata kulipwa kazi Yangu kuwaban Watu kama Hawa.Hii Dunia ya Leo hujui kama humu Ni Sawa Na mtaani.Ndo mana Kuna mijadala ya kujenga mbalimbali.Badilika ndugu Yangu au Rudi Shule Bado una muda.
 
Yaani sikupatii picha ukiwa chuo uliringia wanaume vibaya sana na kujidai wewe ndo wewe, sasa hakuna hata wa kukwambia hi
Maskini polee
Kaseva Bado mshamba hivyo.Sio Kweli Ni uamuzi. Hakuna.msichana asiyetongozwaa.kaamua tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom