Recent content by Black255

  1. Black255

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Sio wa ovyo alichofanya mwenzetu ni kinyume kabisa na miongozo ya utumishi wa umma.
  2. Black255

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    😅😅😅😅😅 ama kweli we jamaa kuna shida sehemu fulani
  3. Black255

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Tusisahau dua kabla ya kulala ndugu zangu
  4. Black255

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Sidhani kama upo sahihi mkuu... ila ni muhimu kuendelea kushikilia unachokiamini
  5. Black255

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Politics kaka.. politics
  6. Black255

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Uko sahihi kabisa mtaalamu
  7. Black255

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Apo mkuu haieleweki ila hata mimi hili wazo la kupiga simu naona halijakaa fresh
  8. Black255

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Duh kumbe ni 2019... mwaka huu wameambiwa wakae na simu karibu
  9. Black255

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Aisee kwaiyo jamaa wategemee jumanne ya wiki ijayo
  10. Black255

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hapa ndo kuna changamoto
  11. Black255

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Wengine si wanabaki kwenye kanzi data
  12. Black255

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Itoshe kusema sekretarieti ya utumishi inatimiza majukumu yake kwa weledi na ustadi wa hali ya juu😊
Back
Top Bottom