daniel enocy
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 380
- 413
TRA ratiba yao haikuwa tayari kupokea wafanyakazi kazi wengne toka tunafanya written ratiba yao yakuita watu kazini ilikuwa mwezi wa sita na walikuwa waongeze idadi kidogo lkn mambo yaliharibika mama alipoingilia kati hawakuwa wamejiandaa ndio maana ikabidi warudishe watu hadi maandalizi yakae sawa lk kinachohitajika ni uvumilivu huo wa mda usiojulikana