Blender
JF-Expert Member
- Mar 5, 2022
- 6,839
- 10,954
Sekretarieti ya Ajira .Mambo mengi tunaona na tunafanyia utafiti kimya kimya kuna taasisi tunafatilia sana majina ya kutwa kazini,hizo rafu zipo tu viwanjani sema kuna rafu technical kama ile ya kanzidata na kuna rafu za wazi ambazo hatuzion hadi turudi kwenye VAR za taasisi.tunasema hapa watoto wa masikini tunapata kazi ilihali majority wanapata kazi na tunawajua uwezo wao tangu tunasoma nao chuo then mtu anakuambia alipambana.kuna watu nilikuwa najua kabisa wakienda oral hawatoboi maana si tumefanya nao presentation tangu mwaka wa kwanza mpaka tunamaliza vyuo.leo wanalamba asali wengine wanaonekana wazembe hawajitumi.
Wakitaka kutoa lawama,wangekua wanatoa majibu mapema tu ya oral lkn kuambiwa baada ya oral napo mchakato,aaaaah sisi tunarudi kwenye VAR.
Mnaopata kazi fanyeni kazi kwa bidii na kujituma tu pamoja na kuwa tunajua mnapitia changamoto kwa ugeni wenu makazini na mnaonewa wivu japo hamsemi humu.sisi wengine tuendelee kupambana tu hadi tutakapobahatika kulamba asali.
Psrs walijua SS tumetoka tichoholi, kumbe SS misheni town kitambo sana, tupo tuna wadere TU, natumeamua kukiwasha Yan.