HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hello
Kwanza ahsante kaka Mwifwa kwa kunishtua nitoe muongozo[emoji3]
Tuanze na Affidavit
Affidavit kwa kiswahili ni kiapo, unaapa kuwa hayo majina yote uliyonayo ata kama yamekosewa yatambulike tu kuwa ni yako
Sasa kwa affidavit ni document official but shida ake ni kuwa, kila sehem utakapopata shida ya majina utahitaji kuwa affidavit ya sehemu husika yaan inayoaddress sehemu husika.
Deed poll ni document more genuine, hiyo unakataa majina yako yote unayohisi huyataki, yamekosewa etc halafu unakubali jina moja, au kama unataka badilisha jina kabisa, deed poll inaandaliwa na mwanasheria halafu ikishaandaliwa inaenda kusajiliwa Wizara ya Ardhi.
Kama una muda tengeneza deed poll ni more genuine, kwa utumishi kuna wanaokubali affidavit na kuna wanaoforce uwe na deedpoll, but kisheria deed poll na affidavit zote ni documents sahihi
Shukrani sana
 
Majina ya kuitwa Kazini Dunia nzima inaona.Vijana wenzetu tu tuliosoma nao,Makundi ya Wasap nk..Mtafutaji wa Ajira yoyote yule lazima akiona Tangazo Afungue ajue ndani kuna Nini.
Duh mtu anasomaje majina yote hayo mpaka aone jina lako au anakua anakutafuta? Mimi ua naangalia kada niliyoomba na aina ya kaz zilizoitwa kazini maana majina ni mengi
 
Vijana wengi huwa wanaangalia pia watu wenzao waliobahatika kupata kazi,hii ni kawaida tu Kwa Kila Mtafutaji.
Ndio maana unaona hadi kina
Mwifwa pongezi zilianzia kundi lake la Darasani...
 
Hello
Kwanza ahsante kaka Mwifwa kwa kunishtua nitoe muongozo[emoji3]
Tuanze na Affidavit
Affidavit kwa kiswahili ni kiapo, unaapa kuwa hayo majina yote uliyonayo ata kama yamekosewa yatambulike tu kuwa ni yako
Sasa kwa affidavit ni document official but shida ake ni kuwa, kila sehem utakapopata shida ya majina utahitaji kuwa affidavit ya sehemu husika yaan inayoaddress sehemu husika.
Deed poll ni document more genuine, hiyo unakataa majina yako yote unayohisi huyataki, yamekosewa etc halafu unakubali jina moja, au kama unataka badilisha jina kabisa, deed poll inaandaliwa na mwanasheria halafu ikishaandaliwa inaenda kusajiliwa Wizara ya Ardhi.
Kama una muda tengeneza deed poll ni more genuine, kwa utumishi kuna wanaokubali affidavit na kuna wanaoforce uwe na deedpoll, but kisheria deed poll na affidavit zote ni documents sahihi
Samahani lakini, ningependa kujua zaidi hivi Kuna uhusiano gani deadpoll kusajiliwa wizara ya ardhi na isiwe labda RITA ambapo tumezoe wanatoa hati za vizazi na Vifo.
 
Back
Top Bottom