Blender
JF-Expert Member
- Mar 5, 2022
- 6,839
- 10,954
Mwambie mbunge wako tutoka Burundi na msalimu sana.We endelea kuugulia tu ila PSRS for life, mtaa kama mgunu sana njoo Singida ulime alizeti, majority ya watu humu wamepata mrija taasisi tofauti tofauti kupitia utumishi, hiyo ajenda nayo nakuhakikishia haitofanikiwa......
Kama umegraduate muda mrefu na Bado unakandwa, wewe jiandae vizuri tu, soma sana ukiitwa written na usisahau kumuomba MUNGU wako, muda wako utafika tu,
Taasisi kuajili zenyewe naona Ina faida kiupande wako ndo maana unasupport sana Hilo wazo kijana
Rukweza