Blender
JF-Expert Member
- Mar 5, 2022
- 6,839
- 10,951
PSRS wanakunja 100k p day + mbususu 😋, alafu bado Wana kukanda Yan 😂Kiongozi...watu wanaishi per diem kazini
PSRS wanakunja 100k p day + mbususu 😋, alafu bado Wana kukanda Yan 😂Kiongozi...watu wanaishi per diem kazini
Nimekusoma mkuu, na Ndio maana PSRS hawataki kuachia taasisi na mashirika wafanye saili, perdm inawebeba juu mawinguni.Wewe bado unategemea mishahara kufanya maendeleo? Hahahah! Zisi kantre hazi veri leizi pipo [emoji23]
Kazi yoyote ikifanyoka nje ya ofisi perdm inahusika😋, labda PSRS waamue saili zifanyike umo umo ndani ya ofisi zaoPsrs kwanini walipwe perdiem kwa kusimamia interview wakati ndiyo jukumu kuu la taasisi?!! Ufafanuzi wa maana please
usijaribu kupuuzia Kazi ya serikali kisa TGS D nk ,siri utaijua ukiwa ndani. nimeshatoa shuhuda sana kuhusu mwanangu anaelipwa TGS lakini yukonjema balaa na sio kwamba kuna side hussle anafanya.Huu uzi unatamanisha kuanza kutafuta asali iliko.
TGS inapigwa mawe mpaka basi.
Kwanza hio sio fani, ni kitengo kapewa, fani yake anaweza ku ata mwalimu,Hivyo wasimamizi wa interview wanaajiriwa kwa kazi hiyo au ni wafanyakazi wa fani tofauti toka psrs?
Aisee noma...ngoja tuendlee kuskiliziabado jamaa angu database imegoma kusoma
tumekaa kusubiria mpaka sasa tumesimama kuuliziaAisee noma...ngoja tuendlee kuskilizia
Pengine huyo rafiki yako anakudanganya Ili manenomaneno yasifike ofisini, ki ukweli Huwezi kuwa na maajabu ukitegemea TGS Dusijaribu kupuuzia Kazi ya serikali kisa TGS D nk ,siri utaijua ukiwa ndani. nimeshatoa shuhuda sana kuhusu mwanangu anaelipwa TGS lakini yukonjema balaa na sio kwamba kuna side hussle anafanya.
Bottom line😹Pengine huyo rafiki yako anakudanganya Ili manenomaneno yasifike ofisini, ki ukweli Huwezi kuwa na maajabu ukitegemea TGS D
Sio wa ovyo alichofanya mwenzetu ni kinyume kabisa na miongozo ya utumishi wa umma.We naye ni wa ovyo , sasa usiri usiri gani hapo ? ,Imekuwa classified document ya FBI au CIA hiyo ?
Usiri usiri nonesense ,acheni watu waandike wazi mapungufu yajulikane
hayo Magari uliwanunulia wewe? Una uhakika ya kuwa tgs d wote Wana Magari?Naot hawatumii tgs d, pia tgs d wote wana magari except walimu tu maana hawana hela za hapa na pale
Auditors ni CPA?Cha ajabu sasa parking ya staffs wa huku ni zaidi ya yard ya BEFORWARD[emoji3][emoji3][emoji3]
% kubwa waliopo kazini kwa miaka kuanzia 3 hasa Auditor Staffs, hawakosi ka IST
Wewe SI unategemea Viwanda vyako.Wewe bado unategemea mishahara kufanya maendeleo? Hahahah! Zisi kantre hazi veri leizi pipo [emoji23]
Hii sio asali. Ni Uji wa advance mkuuWadau hii salary scale TGS mbona mnaisema sna ina nini kwan??